Yanga waanza kupitisha Bakuli tena!

Yanga waanza kupitisha Bakuli tena!

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
...naona Mkiti wao Mshindo Msolla kawasihi wanna Yanga kuichangia timu ili kufanikisha usajili wa nyota wengine wawili.

Hii tabia tegemezi itaua timu zetu asee!

Poleni watani, nyie igeni tu kun.ya kwa tembo! Na yule Senzo gharama zake zitawagharimu Sana Kama mlishindwa kumlipia DSTV kocha wenu mholanzi hiyo mighalama ya wachezaji+Senzo mtaweza???
 
Manji alipochomoa betri, Vyura FC chali.

naye MO atakapochomoa betri, Mbumbumbu SC chali.

msichakane....historia inaonesha mnapeana zamu za kutesa!
 
Hao wanalipwa na gsm.hao wachezaji hawana mahusiano yoyote na viongozi wa yanga.
Wao ni waajiriwa wa GSM.

Ndo maana sakata la morrison hakuna kiongozi yeyote wa yanga aliyenyanyua mdomo kuwauliza GSM nini kimetoa maana mchezaji sio wao.
Sasa team wataziendeshaje jamaniii, wale wachezaji wanaowaleta kwa mbwembwe wasitegee watakubali kukopwa kama kina Yondani, na kukaa vigest vya ajabu ajabu huko mikoani

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Yanga mbona sasa wanaanza kushindwa mapema?
michango bado mapema hivi ata ligi aijaanza pesa zimeisha?
 
Yanga mbona sasa wanaanza kushindwa mapema?
michango bado mapema hivi ata ligi aijaanza pesa zimeisha?
Mwezi wa 6 bila mshahara ,,,,
Screenshot_20200824-151327.png
du jamaa kachoka kinoma
 
Back
Top Bottom