Yanga waanza kupitisha Bakuli tena!

Yanga waanza kupitisha Bakuli tena!

hadi huruma

Halafu hawajui Wabongo huyu Muuza mitumba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Subiri wasipomnyoosha mpaka akarudi Angola kwa Lori ๐Ÿ˜‚

IMG_20200826_204224.jpg

IMG_20200826_204229.jpg
 
yes sisi ni team ya wananchi,

bora tuchangishane wenyewe kuliko kupewa pesa na Gabachori mmoja mla tambuu alafu aje kutupangia hadi vyama vya siasa vya kushabikia.
Sahivi mbna siasa imetamalaki huko klabuni kwenu, na mnapewa pesa na m Yemen koko was Songea. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na ana wapangia kila kitu. Woiiiiiiiiiiih
 
Back
Top Bottom