Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
hadi huruma
Halafu hawajui Wabongo huyu Muuza mitumba ๐๐๐
Subiri wasipomnyoosha mpaka akarudi Angola kwa Lori ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hadi huruma
Kama teja vile kudadadeqMwezi wa 6 bila mshahara ,,,,View attachment 1546764du jamaa kachoka kinoma
Wewe dada usije kumbemenda mtoto wa mwanamke mwenzakoHalafu hawajui Wabongo huyu Muuza mitumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri wasipomnyoosha mpaka akarudi Angola kwa Lori [emoji23]
View attachment 1550160
View attachment 1550162
Sahivi mbna siasa imetamalaki huko klabuni kwenu, na mnapewa pesa na m Yemen koko was Songea. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yes sisi ni team ya wananchi,
bora tuchangishane wenyewe kuliko kupewa pesa na Gabachori mmoja mla tambuu alafu aje kutupangia hadi vyama vya siasa vya kushabikia.