Manji alipochomoa betri, Vyura FC chali....naona Mkiti wao Mshindo Msolla kawasihi wanna Yanga kuichangia timu ili kufanikisha usajili wa nyota wengine wawili.
Hii tabia tegemezi itaua timu zetu asee!
Poleni watani, nyie igeni tu kun.ya kwa tembo! Na yule Senzo gharama zake zitawagharimu Sana Kama mlishindwa kumlipia DSTV kocha wenu mholanzi hiyo mighalama ya wachezaji+Senzo mtaweza???
Sasa team wataziendeshaje jamaniii, wale wachezaji wanaowaleta kwa mbwembwe wasitegee watakubali kukopwa kama kina Yondani, na kukaa vigest vya ajabu ajabu huko mikoani
Na kweli huyo mdosi anawachezea sana.yes sisi ni team ya wananchi,
bora tuchangishane wenyewe kuliko kuliko kupewa pesa na Gabachori mmoja mla tambuu alafu aje kutupangia hadi vyama vya siasa vya kushabikia.
Mwezi wa 6 bila mshahara ,,,,Yanga mbona sasa wanaanza kushindwa mapema?
michango bado mapema hivi ata ligi aijaanza pesa zimeisha?