Ngoja nikuongezee na points nyingine ambazo umezisahau
Yanga bingwa mtetezi akiwa unbeaten bila kupoteza mechi yeyote
Yanga kamfunga Simba mara nyingi zaidi
Yanga kachukua makombe mengi ya ndani kuliko Simba
Kwa tafsiri hiyo kama tungefanya makadirio ya kuweza kujua ni umbali gani kati ya hizi Club mbili zinaweza kufika katika mashindano ya kimataifa
Kwa kuangalia tu mwenendo wa Simba na Yanga katika ligi kuu kabla ya mashindano hayajaanza ungeambiwa uchange karata ya kumpa advantage mmoja ya kuwa na ushiriki mzuri kimataifa lazima kura nyingi zingeenda kwa Yanga
Lakini ukweli upo kinyume chake
Unbeaten ya Yanga imechangiwa na vitu vingi ambavyo ni illegal kwenye soka na ndio maana michuano kama hii inaashinda