Yanga wabaki Shirikisho ni faida kwa Simba

Hapa umekosea, kwani mwaka jana mlivuta angalau kufika kucheza hatua za mchujo!? Je timu nne hazikwenda? Aliyezipeleka timu nne mwaka huu na mwaka kesho atazipeleka tena.
Ni kwa sababu Libya,washindani wetu wa karibu kwenye hizo point za caf,hawakufanya vizuri
 
Yanga bingwa mtetezi na anaiongoza ligi,hao wenye point nyingi caf kwa nini si mabingwa na hawaongozi ligi
Ngoja nikuongezee na points nyingine ambazo umezisahau

Yanga bingwa mtetezi akiwa unbeaten bila kupoteza mechi yeyote

Yanga kamfunga Simba mara nyingi zaidi

Yanga kachukua makombe mengi ya ndani kuliko Simba

Kwa tafsiri hiyo kama tungefanya makadirio ya kuweza kujua ni umbali gani kati ya hizi Club mbili zinaweza kufika katika mashindano ya kimataifa

Kwa kuangalia tu mwenendo wa Simba na Yanga katika ligi kuu kabla ya mashindano hayajaanza ungeambiwa uchange karata ya kumpa advantage mmoja ya kuwa na ushiriki mzuri kimataifa lazima kura nyingi zingeenda kwa Yanga

Lakini ukweli upo kinyume chake

Unbeaten ya Yanga imechangiwa na vitu vingi ambavyo ni illegal kwenye soka na ndio maana michuano kama hii inaashinda
 
Unahangaika na unbeaten au ubora wa yanga na Simba!?...mipenati mingapi mikia mmepewa!?..magoli mangapi yanga ikikataliwa illegally!?..Simba inashindwa nini kuvunja unbeaten ya yanga!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…