Yanga wadai walipuliziwa dawa ya usingizi

Sasa kama walipuliziwa dawa ya usingizi Si wangesinzia uwanjani? mbona kipindi cha pili ndicho walicheza vizuri kuliko cha kwanza?
Ingawa maiti ya mswahili haikosi sababu. Ila sio bure haya maneno mazito saaana na CAF kama waendeshaji wa ligi ya Mabingwa Afrika inatakiwa walimwe barua ili kuchunguza ukweli wa hizi tuhuma ili kubaini ukweli na kama msemaji amesema uongo apigwe umeme wa nguvu ili akome kudanganya.
 
Acha mambo ya ajabu ubora wa kikosi cha ufaransa 98 unaujua ? Walijiandaa kuchukua kombe mpira mchezo wa hadharani brasil anakufa 3 unasema ronaldo?

Huyo ana mambo yakizamani mno achananaye, anatuambia eti brasil, wakati brazil dkk zote 90 alichezewa nusu uwanja, hiyo cku zizo aliwapiga kanzu za kumwaga sana
 
Uchunguzi ufanyike haraka usikute vijana waliharibiwa kwa akili na kimwili..


Hii misemo inatuathiri sana watanzania kila day ni kulalama tu na kuonewa, (USIKUTE,UNGEJUWA,INAWEZEKANA)

Al,ahly wanatumia skills uwanjani,wanajua wanachokifanya! So msiifananishe na yeboyebo ni aibu hata kuongea hayo maneno, hakuna cha kupuliziwa wala nini, walizidiwa tu, na haitotokea Aitoe al,ahly kwa njia yyte ile....
 
ninyi watoto wa juzijuzi mnatujazia server tu humu, hizi habari za vijiweni hatuzitaki humu pelekeni facebook
kua mzee cio kujua mambo alf una ona 98 ni zamani saaana? huna lolote na ukongwe wako
 
Unaweweseka na porojo za kijiwe cha Kahawa kama walipuliziwa si wangeomba wachukuliwe sample za damu kama wasingelikutwa na majibu ya ajabu ajabu , kiongozi anayesema hoja za kupuliziwa dawa HAJUI ASEMALO
Tunakubali Yanga walicheza vizuri ila Wapinzani wao wacheza vizuri zaidi yao
 
Walipuliziwa mpira ulipoisha ili walale wasahau machungu!!
 
mkuu jitahidi kuwa muelewa kidogo sio una quote vitu usivyoelewa nimesema mimi nina uhakika walikula faini ya iyo kesi na inawezekana hata Yanga walifanyiwa fitina ndio maana nikasema egypt mpira kwa sasa hakuna kilichobaki ni fujo mimi yanga Toka enzi izo mkuu..
 
Nasikia ile nyimbo ya Christian Bella ya AMERUDI ANALIA aliimbiwa jery muro
 
Wewe utakua mkia tu
 
Timu ambayo imefunga, ila kimtizamo Ili kuwa si timu ya kuwafunga, kwanini mpongezane, kubali mmezidiwa Na mmefungwa uwanjani hakuna dawa wala nini. Watanzania tukubali tuko mbali bado na viongozi wa vilabu na TTF ndiyo wachimba kaburi la soka letu, hata kwenye mashinda ya shirikisho Kama mnadhani mtelemko tutakutana tena hapa, soka halichezwi mdomoni linachezwa uwanja tena kweupe na Kama Ni usiku taa zenye Mwanga mkali huashwa.
 
kua mzee cio kujua mambo alf una ona 98 ni zamani saaana? huna lolote na ukongwe wako

Nimesema hivi hujakua bado, na ukikua utaacha tu....mada inaihusu yanga na al,ahly wewe unatuletea ya ronaldo tena? Una evidence yeyote about ronaldo kama alifanyiwa hicho kitu? you are not a football fan, but a fan of Ronaldo
 
Nimesema hivi hujakua bado, na ukikua utaacha tu....mada inaihusu yanga na al,ahly wewe unatuletea ya ronaldo tena? Una evidence yeyote about ronaldo kama alifanyiwa hicho kitu? you are not a football fan, but a fan of Ronaldo
ww ume comment ya nn kma haihusiki apa na unataka evidence gan mfano? au uvivu wa kutafuta ukweli ndo una kusumbua. aya soma apa uelimike.

98: What hit Ronaldo before the final?
 
ww ume comment ya nn kma haihusiki apa na unataka evidence gan mfano? au uvivu wa kutafuta ukweli ndo una kusumbua. aya soma apa uelimike.

98: What hit Ronaldo before the final?

Hatuamini hizi link za ku-make wewe,upo dunia yapi? Brazil walikua wanabebwa sana,hata final walifika kwa kubebwa hakuna asiyejua...

hiyo siku Zidane alikua anauchezea mpira anavyotaka,aliwapiga chenga nyingi hao vilaza wako, kanzu za kumwaga, na pia alitumia sana style zake za kuwazungusha kama alizokua anazitumia Maradona enzi zake na ndiye mwanzilishi wa style izo (DIEGO)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…