Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Ndala nani awapulizie dawa..? jamaa kawauliza swali zuri..je hapa bongo nani aliwapulizia dawa mbona hawakufunga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingawa maiti ya mswahili haikosi sababu. Ila sio bure haya maneno mazito saaana na CAF kama waendeshaji wa ligi ya Mabingwa Afrika inatakiwa walimwe barua ili kuchunguza ukweli wa hizi tuhuma ili kubaini ukweli na kama msemaji amesema uongo apigwe umeme wa nguvu ili akome kudanganya.Sasa kama walipuliziwa dawa ya usingizi Si wangesinzia uwanjani? mbona kipindi cha pili ndicho walicheza vizuri kuliko cha kwanza?
Acha mambo ya ajabu ubora wa kikosi cha ufaransa 98 unaujua ? Walijiandaa kuchukua kombe mpira mchezo wa hadharani brasil anakufa 3 unasema ronaldo?
Uchunguzi ufanyike haraka usikute vijana waliharibiwa kwa akili na kimwili..kama walipuliziwa dawa za usingizi kipa aliionaje mipira?
kwa issue ya Ronaldo utakua mbishi tu fanya utafiti
Uchunguzi ufanyike haraka usikute vijana waliharibiwa kwa akili na kimwili..
Mbona hawakulala?Sasa kama wamepuliziwa dawa za usingizi wasiseme??
mmh! wewe utakuwa mzee wa nyika.Ndala nani awapulizie dawa..? jamaa kawauliza swali zuri..je hapa bongo nani aliwapulizia dawa mbona hawakufunga?
kua mzee cio kujua mambo alf una ona 98 ni zamani saaana? huna lolote na ukongwe wakoninyi watoto wa juzijuzi mnatujazia server tu humu, hizi habari za vijiweni hatuzitaki humu pelekeni facebook
Walipuliziwa mpira ulipoisha ili walale wasahau machungu!!Watanzania tubadilike .Viongozi wa Yanga baada ya kutua uwanja wa ndege Leo wamekuja Na rundo la utetezi eti wachezaji wao walipuliziwa Dawa za usingizi.Nilitegemea kuwa kama hilo lilifanyika nilitarajia Yanga wasingecheza mechi ile kwani wachezaji wangekuwa wameathirika Na kusinzia uwanjani.Badala yake tunasikia Yanga imecheza mpira mzuri.Wadau tunajiuliza iweje wapuliziwe Dawa halafu wacheze vizuri?Kauli za hao viongozi in visingizio .Ni vema tukakubali kushindwa .Uongo haufai hats Mh.Magufuli alimtungua Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Kwa kusema UONGO.
mkuu jitahidi kuwa muelewa kidogo sio una quote vitu usivyoelewa nimesema mimi nina uhakika walikula faini ya iyo kesi na inawezekana hata Yanga walifanyiwa fitina ndio maana nikasema egypt mpira kwa sasa hakuna kilichobaki ni fujo mimi yanga Toka enzi izo mkuu..Kwahiyo Yanga walipuliziwa au hawakupuliziwa, hebu soma vizuri maelezo ya mleta mada alafu jibu kuhusu, yanga sio TP Mazembe ambao kwa maelezo yako waligundua mtego. Jibu hili la Yanga ambao waliingia kwenye mtego Na bado wamecheza vizuri kwa kiwango chetu.
Wewe utakua mkia tuWatanzania tubadilike .Viongozi wa Yanga baada ya kutua uwanja wa ndege Leo wamekuja Na rundo la utetezi eti wachezaji wao walipuliziwa Dawa za usingizi.Nilitegemea kuwa kama hilo lilifanyika nilitarajia Yanga wasingecheza mechi ile kwani wachezaji wangekuwa wameathirika Na kusinzia uwanjani.Badala yake tunasikia Yanga imecheza mpira mzuri.Wadau tunajiuliza iweje wapuliziwe Dawa halafu wacheze vizuri?Kauli za hao viongozi in visingizio .Ni vema tukakubali kushindwa .Uongo haufai hats Mh.Magufuli alimtungua Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Kwa kusema UONGO.
kua mzee cio kujua mambo alf una ona 98 ni zamani saaana? huna lolote na ukongwe wako
ww ume comment ya nn kma haihusiki apa na unataka evidence gan mfano? au uvivu wa kutafuta ukweli ndo una kusumbua. aya soma apa uelimike.Nimesema hivi hujakua bado, na ukikua utaacha tu....mada inaihusu yanga na al,ahly wewe unatuletea ya ronaldo tena? Una evidence yeyote about ronaldo kama alifanyiwa hicho kitu? you are not a football fan, but a fan of Ronaldo
sasa mbona hawakulala?
ww ume comment ya nn kma haihusiki apa na unataka evidence gan mfano? au uvivu wa kutafuta ukweli ndo una kusumbua. aya soma apa uelimike.
98: What hit Ronaldo before the final?