Yanga wadai walipuliziwa dawa ya usingizi

Yanga wadai walipuliziwa dawa ya usingizi

Watanzania tubadilike .Viongozi wa Yanga baada ya kutua uwanja wa ndege Leo wamekuja Na rundo la utetezi eti wachezaji wao walipuliziwa Dawa za usingizi.Nilitegemea kuwa kama hilo lilifanyika nilitarajia Yanga wasingecheza mechi ile kwani wachezaji wangekuwa wameathirika Na kusinzia uwanjani.Badala yake tunasikia Yanga imecheza mpira mzuri.Wadau tunajiuliza iweje wapuliziwe Dawa halafu wacheze vizuri?Kauli za hao viongozi in visingizio .Ni vema tukakubali kushindwa .Uongo haufai hats Mh.Magufuli alimtungua Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Kwa kusema UONGO.

Kwa hiyo wewe ulitaka wafe kabisa hata wasiweze kuamka? Au ulitaka wapelekwe ICU hata uwanjani wasiingie?

Unapashwa kutafakari kabla hujaropoka hapa.
 
Hatuamini hizi link za ku-make wewe,upo dunia yapi? Brazil walikua wanabebwa sana,hata final walifika kwa kubebwa hakuna asiyejua...

hiyo siku Zidane alikua anauchezea mpira anavyotaka,aliwapiga chenga nyingi hao vilaza wako, kanzu za kumwaga, na pia alitumia sana style zake za kuwazungusha kama alizokua anazitumia Maradona enzi zake na ndiye mwanzilishi wa style izo (DIEGO)
mwanzo umetaka evidence nme kupa sasa iv unaleta porojo za maradona umehamisha maada tena, unataka kuniambia Brazil hua inabebwa hata wachezaji nyota wa ki Brazil wote walio tapakaa league mbali duniani wame bebwa c ndio?
 
So untaka kuniambia chochote kinachomekiwa na mzungu unaamini? Ingia google now andika chochote kile utakachopenda kitakuijia hata cha uongo kitakuijia tu, sasa hiyo link umeiamini vipi kama ni ya ukweli? Na ndio maana nikakuomba evidence nikajua utaniletea uchafu tu! acha ushamba ndugu yangu,
 
leta wako usio toka Google, kanjanja mkubwa
 
Back
Top Bottom