marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
- Thread starter
-
- #41
Bayern ya bongo sioKwani tumemaliza? Back to back mpaka zifike 10 mfululizo.
Tutamuachia tena Mapinduzi.
Kama polisi TanzaniWaendelee kukamia mechi za Simba
Hahahha "Daima mbele nyuma mwiko"Waondoe kwanza mwiko waliouweka nyuma yao.
Wamesha nunua mkuu wana TATAWanunue basi jipya
Na jana Nimemsikia Mwigulu akijitamba wazi kuwa Mzee Mpili kashatangulia kigomaWaongeze waganga wa kienyeji..
Hujuma kama zipi mkuu embu tutoe tongotongo na sisi tupate kujua brotherYanga imepitia kipindi kigumu sana,hii ni kutokana na hujuma za nje na ndani ya uwanja.Hali hii ilipelekea YANGA kutishia kugomea ligi,nakiri kwamba T.F.F. iliwatoa mchezoni.
Kule kuna mlandege brotherWahamie zanzibar
Hahaha ndio linalo enda kutokea....Wanakuja tena wanasajili wachezaji 20 wapya,halafu washindane na Simba itakayoacha wachezaji wachache tu wanaokaa benchi. Timu ina wachezaji wamekuwa pamoja mpaka wamefanana sura na tabia
Waachane na mzee mpili wakati mzee kawapa ushindi game ya dabiWaachane na Mze Mpili, pia waachane kabisa na masuala ya uchawi maana wamezidi jamani. Umeona wapi timu yote inadhaminiwa uchawi na serikali ya CCM, viongozi wa CCM wanaitafutia timu wachawi.....si ujinga huu?
Ndiyo kilichobakia maana mpira hawajui.Na jana Nimemsikia Mwigulu akijitamba wazi kuwa Mzee Mpili kashatangulia kigoma
Ligi ni timu zote zinazo shiriki kwenye ligi nakubariana na wewe lakini hapa kwetu utani ,uhasimu na ushindani mkubwa uko kati ya hizo timu 2 siwezi kuja kuizungumzia azam yenye kombe moja kaka ...mafikiri ungesema team zingine zifanye nn kuwa challange Simba kwenyw Ubingwa.. basi walau ungewaweka na Azam..
kwa nn mnafanya kama vile mpira wa Bongo hati miliki wanazo yanga na simba.. ili ligi yetu iendelee lazima wengine wanyanyuliwe kiasi... vizaz hivi vichanga vinatakiwe vijue kuna zaid ya Simba na Yanga
vinginevyo malalamiko ya kupendelewa kwa hivi vilabu hayataisha... maana kila mtu automaticaly anahis kuwa kama haupo simba basi upo Yanga
ndo maana maamuzi Mengi ya Soka humu yakitolewa yanatolewankw akubalance Simba na Yanga..
watu wanasema marefa wabovu sababu ya mechi wanazocheza Simba au Yanga.. ila hakuna team wanataabika na marefa kama team za chini
Hahah daaWaache tu kuwa Wapumbavu na Wanga.
Mkude, Ajib? be serious pleaseYanga ili itwae ubingwa msimu ujao, ni budi ifanye usajili utaoweza kuziba mapungufu yao machache.
Imchukue Jonas Mkude, Ibrahim Ajib na beki ya kati mmoja kisha imrudishe kundini Makambo
Una ushahidi wa unachokisema ?Tuwapiku simba kwenye kununua mechi,kuhonga waamuzi na tupate rais wa tff mwanachama wa yanga
Hhahah sema mzee mpili kawachachafya sana SimbaNa jana Nimemsikia Mwigulu akijitamba wazi kuwa Mzee Mpili kashatangulia kigoma
Hao jamaa bado wazima wata wasaidia sanaMkude, Ajib? be serious please
Yatawakuta ya MbaoKama polisi Tanzani
Swali linauliza kuhusu msimu ujao. Malalamiko yamewajaa kichwani.Yanga imepitia kipindi kigumu sana,hii ni kutokana na hujuma za nje na ndani ya uwanja.Hali hii ilipelekea YANGA kutishia kugomea ligi,nakiri kwamba T.F.F. iliwatoa mchezoni.
Hao tayari wameshamalizana na GSM.Mkude, Ajib? be serious please