Yanga wafanye nini ili wapate ubingwa msimu ujao

Yanga wafanye nini ili wapate ubingwa msimu ujao

Yanga imepitia kipindi kigumu sana,hii ni kutokana na hujuma za nje na ndani ya uwanja.Hali hii ilipelekea YANGA kutishia kugomea ligi,nakiri kwamba T.F.F. iliwatoa mchezoni.
Hujuma kama zipi mkuu embu tutoe tongotongo na sisi tupate kujua brother
 
Wanakuja tena wanasajili wachezaji 20 wapya,halafu washindane na Simba itakayoacha wachezaji wachache tu wanaokaa benchi. Timu ina wachezaji wamekuwa pamoja mpaka wamefanana sura na tabia
Hahaha ndio linalo enda kutokea....
 
Waachane na Mze Mpili, pia waachane kabisa na masuala ya uchawi maana wamezidi jamani. Umeona wapi timu yote inadhaminiwa uchawi na serikali ya CCM, viongozi wa CCM wanaitafutia timu wachawi.....si ujinga huu?
Waachane na mzee mpili wakati mzee kawapa ushindi game ya dabi
 
mafikiri ungesema team zingine zifanye nn kuwa challange Simba kwenyw Ubingwa.. basi walau ungewaweka na Azam..

kwa nn mnafanya kama vile mpira wa Bongo hati miliki wanazo yanga na simba.. ili ligi yetu iendelee lazima wengine wanyanyuliwe kiasi... vizaz hivi vichanga vinatakiwe vijue kuna zaid ya Simba na Yanga

vinginevyo malalamiko ya kupendelewa kwa hivi vilabu hayataisha... maana kila mtu automaticaly anahis kuwa kama haupo simba basi upo Yanga

ndo maana maamuzi Mengi ya Soka humu yakitolewa yanatolewankw akubalance Simba na Yanga..

watu wanasema marefa wabovu sababu ya mechi wanazocheza Simba au Yanga.. ila hakuna team wanataabika na marefa kama team za chini
Ligi ni timu zote zinazo shiriki kwenye ligi nakubariana na wewe lakini hapa kwetu utani ,uhasimu na ushindani mkubwa uko kati ya hizo timu 2 siwezi kuja kuizungumzia azam yenye kombe moja kaka ...
 
Yanga imepitia kipindi kigumu sana,hii ni kutokana na hujuma za nje na ndani ya uwanja.Hali hii ilipelekea YANGA kutishia kugomea ligi,nakiri kwamba T.F.F. iliwatoa mchezoni.
Swali linauliza kuhusu msimu ujao. Malalamiko yamewajaa kichwani.
 
Back
Top Bottom