Yanga wafanye nini ili wapate ubingwa msimu ujao

Ila kombe likiendelea kuchukuliwa na timu moja itapelekea ligi kukosa mvuto.

Kuna haja ya timu zingine mfano Azam au Geita Gold nazo zijipange msimu ujao zichukue ubingwa.
 
Yanga imepitia kipindi kigumu sana,hii ni kutokana na hujuma za nje na ndani ya uwanja.Hali hii ilipelekea YANGA kutishia kugomea ligi,nakiri kwamba T.F.F. iliwatoa mchezoni.
Kama mtaendelea kuwa Na hii mentality ubingwa muusahau kabisaaaaa.
 
Kinachowaponza yanga,Ni porojo, blaablaaa,kupiga propaganda dhidi ya [emoji881],wanatumia muda mwingi sana,kujidhoofisha [emoji881] kwa maneno ya uzushi,pia wanatumia muda muda mchache Sana kuwapumbaza mashabiki wao kwa UONGO uliyomtamu.Hawana muda wa kuandaa kikosi chenye kuwaletea tija,hawana mpango mkakati wa kuandaa timu yao.Wakitaka yanga wafanikiwe wajikite zaidi kwenye soka na kuachana na PoRoJooooo , blaablaaa.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Yanga waongeze hongo kwa waamuzi Kama wenzao wa Simba wanavyofanya halafu bodi ya ligi na tff pia waiweke mfukoni ili ratiba iwe ya upendeleo na kuhakikisha kuwa timu za kupanga matokeo zinapangwa mwishoni mwa ligi
 
Ni kweli kabisa maana hata waamuzi wa FIFA Simba iliwahonga ndio maana ikamfunga al ahly.
Uzuri kukubaliana na mtu mpumbavu ili ajione mjanja katika upumbavu wake
Yanga waongeze hongo kwa waamuzi Kama wenzao wa Simba wanavyofanya halafu bodi ya ligi na tff pia waiweke mfukoni ili ratiba iwe ya upendeleo na kuhakikisha kuwa timu za kupanga matokeo zinapangwa mwishoni mwa ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…