marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
- Thread starter
- #61
Msimu ujao? Watalipataje bil Kuliiba?Watume wale makomandoo wao wakaliibe tarehe 18 July kabla halijakabidhiwa kwa Simba Sports Club
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimu ujao? Watalipataje bil Kuliiba?Watume wale makomandoo wao wakaliibe tarehe 18 July kabla halijakabidhiwa kwa Simba Sports Club
Hapo sasa!Swali linauliza kuhusu msimu ujao. Malalamiko yamewajaa kichwani.
Kama mtaendelea kuwa Na hii mentality ubingwa muusahau kabisaaaaa.Yanga imepitia kipindi kigumu sana,hii ni kutokana na hujuma za nje na ndani ya uwanja.Hali hii ilipelekea YANGA kutishia kugomea ligi,nakiri kwamba T.F.F. iliwatoa mchezoni.
Basi Yanga hawapo serious na kaziHao tayari wameshamalizana na GSM.
Ndiyo maana nimesema waachane na huyu Mze kwani kimataifa Yanga ni jamvi la wageni, hawana lolote kila wakienda kimataifa wao wanalilia kushika mkia tu.Waachane na mzee mpili wakati mzee kawapa ushindi game ya dabi
Kinachowaponza yanga,Ni porojo, blaablaaa,kupiga propaganda dhidi ya [emoji881],wanatumia muda mwingi sana,kujidhoofisha [emoji881] kwa maneno ya uzushi,pia wanatumia muda muda mchache Sana kuwapumbaza mashabiki wao kwa UONGO uliyomtamu.Hawana muda wa kuandaa kikosi chenye kuwaletea tija,hawana mpango mkakati wa kuandaa timu yao.Wakitaka yanga wafanikiwe wajikite zaidi kwenye soka na kuachana na PoRoJooooo , blaablaaa.Msimu wa 2020-2021 umeshapata bingwa ambae ni Simba sc ,na hii ni mara ya 4 mfululizo simba sc anakua bingwa wa ligi kuu Tanzania bara.
Licha ya kua mabingwa mara 4 Simba hawaomeshi dalili za kupungua makali kwenye kutetea ubingwa msimu ujao
Kama mdau wa soka na micheza Tanzania unadhani Yanga wanahitaji kufanya nini ili kutamatisha ama kivunja huu mfululizo wa Simba kua mabingwa mfululizo na kombe walichukue wao?
View attachment 1851018
Yanga waongeze hongo kwa waamuzi Kama wenzao wa Simba wanavyofanya halafu bodi ya ligi na tff pia waiweke mfukoni ili ratiba iwe ya upendeleo na kuhakikisha kuwa timu za kupanga matokeo zinapangwa mwishoni mwa ligiMsimu wa 2020-2021 umeshapata bingwa ambae ni Simba sc ,na hii ni mara ya 4 mfululizo simba sc anakua bingwa wa ligi kuu Tanzania bara.
Licha ya kua mabingwa mara 4 Simba hawaomeshi dalili za kupungua makali kwenye kutetea ubingwa msimu ujao
Kama mdau wa soka na micheza Tanzania unadhani Yanga wanahitaji kufanya nini ili kutamatisha ama kivunja huu mfululizo wa Simba kua mabingwa mfululizo na kombe walichukue wao?
View attachment 1851018
Yanga waongeze hongo kwa waamuzi Kama wenzao wa Simba wanavyofanya halafu bodi ya ligi na tff pia waiweke mfukoni ili ratiba iwe ya upendeleo na kuhakikisha kuwa timu za kupanga matokeo zinapangwa mwishoni mwa ligi