fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Katika mechi 4 Yanga imefunga goli 5 haijafungwa hata moja kwanza ungeipongeza ni afadhari timu ishinde goli 1 iwe na uwezo wa kulinda ushindiwafungaji wetu,mzize,musonda na hafidh bado hawaja click.gamondi ongeza bidii,vinginevyo hatufiki mbali
nadhani tuna shida nchi nzima kufungaSio Yanga tu,hata sisi Simba kina Onana sijui walisajiliwaje
wanastahili kupongezwa yes sasa hofu yangu tukianza ligi ndio mtihani,na tukivuka mechi za awali za championship tusipostep up yukifungwa kurudisha itakuwa shidaKatika mechi 4 Yanga imefunga goli 5 haijafungwa hata moja kwanza ungeipongeza ni afadhari timu ishinde goli 1 iwe na uwezo wa kulinda ushindi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hakika,we imagine mtu yupo na kipa anashindwa kufunganadhani tuna shida nchi nzima kufunga
Binafsi sijaelewa kwanini kocha anakazania Musonda na Mzize kila mechi n wao tu wanaanza. Konkon alipoingia kwenye mechi dhidi ya Simba alicheza vizuri kwa utulivu tofauti na Mzize. Pia Zou Zou naye ni mzuri anaweza kuongeza kitu kwenye safu ya ushambuliaji.wanastahili kupongezwa yes sasa hofu yangu tukianza ligi ndio mtihani,na tukivuka mechi za awali za championship tusipostep up yukifungwa kurudisha itakuwa shida
Beggars have no choice . Huwezi kuwa maskini ukapata the best unaridhika na unachopata.Hawa wachezaji waliopo kwa sasa ndio hadhi ya Yanga.Binafsi sijaelewa kwanini kocha anakazania Musonda na Mzize kila mechi n wao tu wanaanza. Konkon alipoingia kwenye mechi dhidi ya Simba alicheza vizuri kwa utulivu tofauti na Mzize. Pia Zou Zou naye ni mzuri anaweza kuongeza kitu kwenye safu