Yanga wafungaji bado

Yanga wafungaji bado

Sio Yanga tu,hata sisi Simba kina Onana sijui walisajiliwaje
 
Konkoni ungemuondoa hapo huwezi mjudge kwa dakika alizocheza kwa mechi zote mbili.

Lakini jamaa ana kitu kocha ampe muda ndio tutajua mbivu na mbichi.
 
Emanuel Mahop aliwashinda KUMSAJILI

HAPO ndipo TATIZO lilipoanzi.

Ndio faida ya kuwaa na Wachezaji dezo.

TUTAMKUMBUKA MAYELE DAIMA..
 
Tanzania nzima namba 6 ni mmoja TU...!

Fabrice Ngoma........! Usibishe

Halafu Kuna namba 5 mmoja TU...!

Che Mundugwao Malon... ! Usibishe pia...

Nakuunga mkono,Mzize Bado...
 
Mimi YANGA lialia ila VIONGOZI WA YANGA NI MATAPELI
ZOUAZOA HAKUNA MCHEZAJI PALE
 
Katika mechi 4 Yanga imefunga goli 5 haijafungwa hata moja kwanza ungeipongeza ni afadhari timu ishinde goli 1 iwe na uwezo wa kulinda ushindi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
wanastahili kupongezwa yes sasa hofu yangu tukianza ligi ndio mtihani,na tukivuka mechi za awali za championship tusipostep up yukifungwa kurudisha itakuwa shida
 
wanastahili kupongezwa yes sasa hofu yangu tukianza ligi ndio mtihani,na tukivuka mechi za awali za championship tusipostep up yukifungwa kurudisha itakuwa shida
Binafsi sijaelewa kwanini kocha anakazania Musonda na Mzize kila mechi n wao tu wanaanza. Konkon alipoingia kwenye mechi dhidi ya Simba alicheza vizuri kwa utulivu tofauti na Mzize. Pia Zou Zou naye ni mzuri anaweza kuongeza kitu kwenye safu ya ushambuliaji.
 
Binafsi sijaelewa kwanini kocha anakazania Musonda na Mzize kila mechi n wao tu wanaanza. Konkon alipoingia kwenye mechi dhidi ya Simba alicheza vizuri kwa utulivu tofauti na Mzize. Pia Zou Zou naye ni mzuri anaweza kuongeza kitu kwenye safu
Beggars have no choice . Huwezi kuwa maskini ukapata the best unaridhika na unachopata.Hawa wachezaji waliopo kwa sasa ndio hadhi ya Yanga.
 
Back
Top Bottom