kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Bila Kujari Matokeo...!
Kipute ni Kati Ya KMKM na Dar Young Africa, hii ni friend Match...!
Maofisa Wa Yanga Wakiongozwa na Injinia Hersi na Senzo Wameonekana Wametinga Ule Uzi ulioweka Rekodi Ya Kuwa Uzi wenye Mkataba Mfupi sana Kuwahi kutokea Duniani.
Mkataba ulidumu Kwa muda Wa Siku 7 tu kama sio Wiki 2.
Lengo Kuu ilikuwa Kuhamasisha Wageni huko nje ya Nchi watembelee Zanzibar Wakati huo Dar Africa ikiwa inashiriki mechi za Kimataifa.
Sasa Kuliko Kukosa Wazanzibari ...Changamkieni hiyo fursa....hawa maafisa Wa Yanga Wameona mbali Sana.