My teamYanga 1 Azam O
Ni kijana Mzambia Akiwa hajawahi kuonekana amenyoa upara ila leo Akiwa na mwonekano wa Kipara pale uwanjani Ameisaidia timu yake Ya Yanga kushinda Goli 1 dhidi ya Wanalambalamba wa Azam waliondoka na Sifuri.
Hongera Yanga kwa kushinda Mtihani huu Mkubwa katika harakati za kutetea ubingwa wenu.View attachment 489811
1 Mtungi1 Bila
1 bashite
1 -0
1 yai
1 nunge
Endeleza
Duh!Hawa Azam wapuuzi sana,wamefanya siku yangu ya leo iwe hovyo...pambavu zao.
Shida ya kuwa na matokeo kwa 100% kichwani,bila kujua mpira ni dk 90,ndio maana uwa mnavunja vitiHawa Azam wapuuzi sana,wamefanya siku yangu ya leo iwe hovyo...pambavu zao.