Yanga wainyuka Azam FC bao moja sifuri

Yanga wainyuka Azam FC bao moja sifuri

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Yanga 1 Azam O

Ni kijana Mzambia Akiwa hajawahi kuonekana amenyoa upara ila leo Akiwa na mwonekano wa Kipara pale uwanjani Ameisaidia timu yake Ya Yanga kushinda Goli 1 dhidi ya Wanalambalamba wa Azam waliondoka na Sifuri.

Hongera Yanga kwa kushinda Mtihani huu Mkubwa katika harakati za kutetea ubingwa wenu.
1491061087209.jpg
 
Yanga 1 Azam O

Ni kijana Mzambia Akiwa hajawahi kuonekana amenyoa upara ila leo Akiwa na mwonekano wa Kipara pale uwanjani Ameisaidia timu yake Ya Yanga kushinda Goli 1 dhidi ya Wanalambalamba wa Azam waliondoka na Sifuri.

Hongera Yanga kwa kushinda Mtihani huu Mkubwa katika harakati za kutetea ubingwa wenu.View attachment 489811
My team
 
Katika magumu na mepesi Yanga itabaki ni timu yangu ninayoipenda katika maisha yangu
 
Back
Top Bottom