Yanga wajiandae kupoteza mchezo dhidi ya Simba, goli ni watakazofungwa ni kuanzia 3

ENDTIME

New Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
3
Reaction score
6
Yanga wanakikosi kizuri sana kwa sasa lakini kuna jambo ambalo linaweza kuwapata likaacha watu wengi midomo wazi. Mimi binafsi naoma Yanga wakipoteza kwa Simba goli 3 kwa 0 na wanaweza kufungwa goli nyingi zaidi. Na ikitokea wakafunga goli basi ni dakika za majeruhi na kwa tabu sana.

Hawatakiwi kuingia uwanjani na matokeo .
 
Usije ukimbia huu uzi.
 
Kinyume chake ni kwamba Simba atakula kuanzia chuma 3 na kuendelea unajua sana kutumia tafsida🤣🤣🤣
 
Yanga wanakikosi kizuri sana kwa sasa lakini kuna jambo ambalo linaweza kuwapata likaacha watu wengi midomo wazi. Mimi binafsi naoma Yanga wakipoteza kwa Simba goli 3 kwa 0 na wanaweza kufungwa goli nyingi zaidi. Na ikitokea wakafunga goli basi ni dakika za majeruhi na kwa tabu sana.

Hawatakiwi kuingia uwanjani na matokeo .
Tangu msimu uliopita ulipokuwa unaanza tabiri zenu kwa kila mechi zilikuwa ni hizihizi kwamba atafungwa sababu ya kuingia uwanjani na matokeo. Je, unaweza ukanikumbusha hadi mwisho wa msimu mambo yaliishaje?
 
Kuna upande umejiwekea matarajio makubwa ya kumfunga mtani wake, matokeo yake mambo yakiwa tofauti wanaanza kuzimia.

Nyie endeleeni kukariri
 
Yanga wanakikosi kizuri sana kwa sasa lakini kuna jambo ambalo linaweza kuwapata likaacha watu wengi midomo wazi. Mimi binafsi naoma Yanga wakipoteza kwa Simba goli 3 kwa 0 na wanaweza kufungwa goli nyingi zaidi. Na ikitokea wakafunga goli basi ni dakika za majeruhi na kwa tabu sana.

Hawatakiwi kuingia uwanjani na matokeo .
Kumbuka itakua tarehe 8....

Ukiona Simba na Yanga wanacheza tarehe zenye kuishia na 8... Jua hua ni majanga Kwa timu flani hivi
 
Yanga wanakikosi kizuri sana kwa sasa lakini kuna jambo ambalo linaweza kuwapata likaacha watu wengi midomo wazi. Mimi binafsi naoma Yanga wakipoteza kwa Simba goli 3 kwa 0 na wanaweza kufungwa goli nyingi zaidi. Na ikitokea wakafunga goli basi ni dakika za majeruhi na kwa tabu sana.

Hawatakiwi kuingia uwanjani na matokeo .
Ndo unaamka usingizini?ungenawa uso Kwanza ndo uje na mada hiyo
 
Kila nikiwaza pale mbele Kuna Aziz, Pacome, Dube,Mzize,Baleke,Chama,Zengeli
Nikawaza tena uko nyuma kuna Diara,Job,Yao,Bacca,Kibabage katikati Aucho,Mdathiri . Sioni mechi ambayo tutacheza tukakosa goli nawala sioni timu yoyote takutufunga msimu huu hapa Tanzania
 
Nyie njooni bila gadi, nmesema msimu huu hautaki kucheka na nyani! mnaenda kusambaratika mwanzo wa msimu
 
Kuna timu unaenda kufurushwa mwanzo wa msimu
 
Yanga wanakikosi kizuri sana kwa sasa lakini kuna jambo ambalo linaweza kuwapata likaacha watu wengi midomo wazi. Mimi binafsi naoma Yanga wakipoteza kwa Simba goli 3 kwa 0 na wanaweza kufungwa goli nyingi zaidi. Na ikitokea wakafunga goli basi ni dakika za majeruhi na kwa tabu sana.

Hawatakiwi kuingia uwanjani na matokeo .
Tunaweka akiba kwa baadae
 
Back
Top Bottom