DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,229
- 1,950
Huo ni uganga wa kienyeji. Kuna analysis yoyote ya kuonesha kwanini Yanga wafungwe au hisia zako tu?Yanga wanakikosi kizuri sana kwa sasa lakini kuna jambo ambalo linaweza kuwapata likaacha watu wengi midomo wazi. Mimi binafsi naoma Yanga wakipoteza kwa Simba goli 3 kwa 0 na wanaweza kufungwa goli nyingi zaidi. Na ikitokea wakafunga goli basi ni dakika za majeruhi na kwa tabu sana.
Hawatakiwi kuingia uwanjani na matokeo .