Yanga wajiandae kupoteza mchezo dhidi ya Simba, goli ni watakazofungwa ni kuanzia 3

Huo ni uganga wa kienyeji. Kuna analysis yoyote ya kuonesha kwanini Yanga wafungwe au hisia zako tu?
 
Sawa Mkuu wa watabiri
 
Sawa ndugu Fulltime tusubiri muda.
 
Takwimu za Makaratasi zinaibeba Yanga, tukifungwa itakuwa ni matokeo tu ya mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…