Ukiangalia ratiba ya CAF bora Yanga wakamalize mechi zote Singida. Kwanza Singida ni mtoto wao atwaachia tu.
Ikitokea wamefuzu kucheza fainali kuna mechi za home and away tar 28 mei na tar 02 juni kwa hiyo kuacha kucheza hiyo mechi ya FA itaharibu ratiba ya FA lakini pia wao itawapa ugumu wa kusafiri kwenda Singida tena.
Ushauri kama marumo wana mechi jumatano na jumamosi na wanasafari ya kuja TZ why not Yanga wasicheze jumapili saa 9 gemu ikiisha wasafiri kuja Dar jumatatu na jumanne wanajiandaa.