Yanga wakianza na Kikosi hiki matokeo ni lazima

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
- Namba 1 Diara

- Namba 2 Kibwana

- Namba 3 Job

- Namba 4 Bacca

- Namba 5 Bakari

- Namba 6 Bangala

Namba 7 lomalisa. Namuweka lomalisa hapa kwa sababu mechi hii inahitaji watu ambao wanajua kupiga dribble vizuri ili kupenyeza mipira kwenda kwa Mayele kutokana na kukajaa kwa mabeki wa USM Alger nyuma leo hawatawapa Yanga nafasi ya kukimbia na mpira sana.

Kwa hiyo kunahitajika mtu ambaye anajua ku dribble, kucheza hapa Moloko na Kisinda sio wazuri kwa dribble.

- Namba 8 Djuma Shaban. Kwa Juma Shabani naye ni hivyo hivy, nafikiri hapa panamtosha. Hata kama sio sehemu sahihi yake ya kucheza, ila kwasababu ya utulivu wake na dribble zake anaweza kuwa anatoa pasi nzuri akiwa hapa.

-Namba 9 Mayele

- Namba 10 Musonda

- Namba 11 Morrison
 
we ni kocha wa wapi?
 
Kibwana hawezi kushambulia,yanga inahitaji magoli,kocha ataanza na juma shabani na lomalisa
 
mpira saa ngapi leo?
 
Sio kwa nia mbaya ila hiki kikosi hapana.
 
Pengo la Aucho likiweza kuzibwa tumeshinda. Timu inakosa balance. Kibwana hakupanda inavyotakiwa inatakiwa Lomalisa, Morisson aanze Aziz Ki benchi
 
Job ana kadi hawez cheza
 
EWE MWANANCHIIIII HAKIKA LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUDHIHIRISHIA ULIMWENGU KWAMBA YANGA NI KUBWA KIASI GANI NA TUNA UKUBWA KIASI GANI KATIKA SOKA.
NAJUA KUNA WATU HAWATA PENDA HISTORIA TUNAYOENDA KUIANDIKA LEO HII.


NIKUOMBE TU KAMA HUNA USTAHMILIVU NA TIMU YA YANGA USIANGALIE MECHI YA LEO.
MECHI HII NI KWA AJILI YA WABOBEZI WA SOKA.
πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
 
Labda namba tisa wakamkodi Halland
 
Yanga kuleta kombe itakuwa ni sawa na mama samia leo hii aache urais eti aende chadema akagombee uenyekiti
 

Formations leo ya kupunguza magoli 1>3>5>2
 
WATU wamekandwa nyumbani na kuchezewa vile.
Mkawa mnaanguka anguka

Wakiwa KWAO na kombe na
mashabiki.

Unategemea yanga kweli ashinde.!!!!!!
????.???.???????


TIMU iliyofanya UWEKEZAJI mzuri ndio itakayo shinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…