Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe, umeandika title kwa kidole Cha mguu halafu ukahariri ulichokiandika kwa jicho la tatu? Mbona ugolo huu.. au hukupata wa kukulipia ada chekecheaIvi ikitokea yanga kuchukuwa kombe la shirikisho na uku simba wameanguka kwenye robo final ya club bingwa
Bado caf watawaita simba geant wa Tanzania?
Ni swala la muda tu admin wa caf atabadirisha kauli yake
Simba ni giant tu kwenye mitandao, hana rekodi ya kuchukuwa kombe lolote la maana nje ya Tanzania. Kocha wa Orlando Pirates aliwaambia Simba waache kuwekeza kwenye kelele za kwenye mitandao na wawekeze uwanjani.Hivi ikitokea Yanga kuchukuwa kombe la shirikisho na huku Simba wameanguka kwenye robo final ya club bingwa,bado CAF watawaita simba giant wa Tanzania?
Ni suala la muda tu admin wa CAF atabadilisha kauli yake.
Simba uo u Giant anautoa wapi!! Kule CAF Hana kikombe chochote, Uku Tanzania Yanga ndie Giant.Hivi ikitokea Yanga kuchukuwa kombe la shirikisho na huku Simba wameanguka kwenye robo final ya club bingwa,bado CAF watawaita simba giant wa Tanzania?
Ni suala la muda tu admin wa CAF atabadilisha kauli yake.
Unajua kule CAF huwa wanaangalia kitu kimoja tu: ranking zao za CAF. Usitegemee kauli kubadilika labda Yanga iingie robo fainali ya CAF Champions League mara nne mfululizo, yaani nazungumzia miaka minne ijayo, wakati huo Simba iwe ipo ipo tu. Lakini kwa sasa hata Simba ikishuka daraja, CAF wataendelea kuiita giant wa TanzaniaHivi ikitokea Yanga kuchukuwa kombe la shirikisho na huku Simba wameanguka kwenye robo final ya club bingwa,bado CAF watawaita simba giant wa Tanzania?
Ni suala la muda tu admin wa CAF atabadilisha kauli yake.
Anamaanisha Azam confederation cupKwanza tuanzie hapa
" ikitokea yanga akachukua kombe la shirikisho"
Hicho kitu hakiwezi kutokea