Yanga wakichukua ubingwa wa Shirikisho, Simba bado ataitwa giant wa Tanzania?

Yanga wakichukua ubingwa wa Shirikisho, Simba bado ataitwa giant wa Tanzania?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Hivi ikitokea Yanga kuchukuwa kombe la shirikisho na huku Simba wameanguka kwenye robo final ya club bingwa,bado CAF watawaita simba giant wa Tanzania?

Ni suala la muda tu admin wa CAF atabadilisha kauli yake.
 
Ivi ikitokea yanga kuchukuwa kombe la shirikisho na uku simba wameanguka kwenye robo final ya club bingwa
Bado caf watawaita simba geant wa Tanzania?
Ni swala la muda tu admin wa caf atabadirisha kauli yake
Wewe, umeandika title kwa kidole Cha mguu halafu ukahariri ulichokiandika kwa jicho la tatu? Mbona ugolo huu.. au hukupata wa kukulipia ada chekechea
 
Hivi ikitokea Yanga kuchukuwa kombe la shirikisho na huku Simba wameanguka kwenye robo final ya club bingwa,bado CAF watawaita simba giant wa Tanzania?

Ni suala la muda tu admin wa CAF atabadilisha kauli yake.
Simba ni giant tu kwenye mitandao, hana rekodi ya kuchukuwa kombe lolote la maana nje ya Tanzania. Kocha wa Orlando Pirates aliwaambia Simba waache kuwekeza kwenye kelele za kwenye mitandao na wawekeze uwanjani.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ikitokea Yanga kuchukuwa kombe la shirikisho na huku Simba wameanguka kwenye robo final ya club bingwa,bado CAF watawaita simba giant wa Tanzania?

Ni suala la muda tu admin wa CAF atabadilisha kauli yake.
Simba uo u Giant anautoa wapi!! Kule CAF Hana kikombe chochote, Uku Tanzania Yanga ndie Giant.
Kwenye Soka U Giant unaupata Kwa kutwaa vikombe labda kama una maanisha U Giant wa ushirikina apo sawa.

Kwenye Ushirikina kule CAF Simba Wana Tuzo na Hapa nyumbani mpaka wachezaji wao Wana pigwa fine na Tff Kwa ushirikina.
 
Hivi unadhani ni rahisi kumfunga far rabat???acheni kuwaza kwa makalio nyie watu
 
Yaani kuingia robo kwa mara ya kwanza kwenye kombe la looser mnawaza kuwa mabingwa, mbona mnachukulia mambo rahisi sana, endeleeni kupiga makofi kuwadharau rivers united.
 
Mwaka huu tutasikia na kuona mengi. Timu kuingia robofainali tena ya kombe la loosers Mashabiki wote wa utopolo mmegeuka kuwa vichaa!! Kila siku ni HabarI za Yanga kuwa bingwa wa CAFcc utafikiri huko walioingia robofainali ni Yanga B singida big star. Endeleeni kuchungulia chungu cha jirani huku chenu kinaungua mtajuta hapo baadae.

Hivi nyie ndo mngekuwa robofainali huku klabu bingwa nahisi nchi isingetawalika.
 
Hivi ikitokea Yanga kuchukuwa kombe la shirikisho na huku Simba wameanguka kwenye robo final ya club bingwa,bado CAF watawaita simba giant wa Tanzania?

Ni suala la muda tu admin wa CAF atabadilisha kauli yake.
Unajua kule CAF huwa wanaangalia kitu kimoja tu: ranking zao za CAF. Usitegemee kauli kubadilika labda Yanga iingie robo fainali ya CAF Champions League mara nne mfululizo, yaani nazungumzia miaka minne ijayo, wakati huo Simba iwe ipo ipo tu. Lakini kwa sasa hata Simba ikishuka daraja, CAF wataendelea kuiita giant wa Tanzania

Kwa ufupi, CAF huwa wanauchukulia ubingwa wa ligi za nyumbani kama ticket tu ya kucheza Ligi yao pendwa wanayoitambua rasmi, Ligi ya Mabingwa wa Vilabu vya Afrika. Ndio maana huwa hata hawaingilii chama cha soka cha nchi fulani kupeleka jina la klabu inayowakilisha nchi. Mfano, Yanga ikichukua ubingwa nchini halafu TFF ikapeleka jina la wawakilishi wa CAF CL la Simba na Ihefu, wala CAF hawataingilia, maana wao wanasubiri perfomance za timu hizo kwenye ligi yao
 
Back
Top Bottom