DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
“...Hii adhabu CAF wametupa kutokana na kuwasha moto sisi kwenye Mpira wa Afrika bado ni wanafunzi lakini kuna mamasta wa hayo mambo, mfano timu za Kaskazini na huoni kama wameadhibiwa. Nawaomba mashabiki wetu wasije tena na Fataki tukubaliane hatutofanya tena makosa.
“Ni kweli tumepokea Barua ya kutozwa faini Dollar 35,000 kwa makosa ya kuwasha fataki, Moshi na Tochi uwanjani pamoja na Basi la Rivers Utd kuvamiwa”
“Baadhi ya Matukio yanafanywa sana na Wenzetu waarabu lakini huoni wakidhibiwa hivyo Wananchi tunawaomba Waache hizi tabia kwasababu tupo hatua nzuri ambayo inawezekana tunajaribiwa kutolewa kwenye ‘focus’ tunaomba Wananchi waache hizi tabia ili tusiwape sababu”
[emoji361] Ali Kamwe.
Afisa Habari wa Yanga Sc.