Yanga wakili kupigwa faini na CAF kutokana na utovu wa nidhamu,washabiki wakiendelea kukaza shingo

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
“...Hii adhabu CAF wametupa kutokana na kuwasha moto sisi kwenye Mpira wa Afrika bado ni wanafunzi lakini kuna mamasta wa hayo mambo, mfano timu za Kaskazini na huoni kama wameadhibiwa. Nawaomba mashabiki wetu wasije tena na Fataki tukubaliane hatutofanya tena makosa.

“Ni kweli tumepokea Barua ya kutozwa faini Dollar 35,000 kwa makosa ya kuwasha fataki, Moshi na Tochi uwanjani pamoja na Basi la Rivers Utd kuvamiwa”

“Baadhi ya Matukio yanafanywa sana na Wenzetu waarabu lakini huoni wakidhibiwa hivyo Wananchi tunawaomba Waache hizi tabia kwasababu tupo hatua nzuri ambayo inawezekana tunajaribiwa kutolewa kwenye ‘focus’ tunaomba Wananchi waache hizi tabia ili tusiwape sababu”

[emoji361] Ali Kamwe.
Afisa Habari wa Yanga Sc.
 
Na wamekili hadharani kwamba wao kimataifa bado wanafunzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Halafu anatokea mwanautopolo aliyepo mbwidu huko ndanindani anasema haya ni mambo ya kutunga

Bata wahed[emoji1787]
 
Na wamekili hadharani kwamba wao kimataifa bado wanafunzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Alafu anatokea mwanautopolo aliyepo mbwidu huko ndanindani anasema haya ni mambo ya kutunga

Bata wahed[emoji1787]
yaani hilo neno wanafunzi ndo limekupa furaha Dunduka!!!!
NI HUZUNI KWAKWELI...usitudanganye kulazimisha furaha huna kitu kitakupa furaha wewe kwenye soka la bongo kwa sasa mpk 2030
 
Wewe una furaha gani????
Kucheza kombe la luza au?
 
Nilipoona Yanga wakili nikajua advocate wa Yanga.
Kila nikisoma sioni wakili kupingwa hiyo faini.
 
Yanga wananjijua wenyewe na upum*avu wao wenyewe
 
Yani kwa sasa Simba wakianzisha thread Uto wataona wanasemwa na kwa sasa hawataki kusemwa wanataka wasikie mabaya ya Simba tuu...hahaha utasikia Rage apewe ulinzi...
 
“...Hii adhabu CAF wametupa kutokana na kuwasha moto sisi kwenye Mpira wa Afrika bado ni wanafunzi lakini kuna mamasta wa hayo mambo, mfano timu za Kaskazini na huoni kama wameadhibiwa. Nawaomba mashabiki wetu wasije tena na Fataki tukubaliane hatutofanya tena makosa.

“Ni kweli tumepokea Barua ya kutozwa faini Dollar 35,000 kwa makosa ya kuwasha fataki, Moshi na Tochi uwanjani pamoja na Basi la Rivers Utd kuvamiwa”

“Baadhi ya Matukio yanafanywa sana na Wenzetu waarabu lakini huoni wakidhibiwa hivyo Wananchi tunawaomba Waache hizi tabia kwasababu tupo hatua nzuri ambayo inawezekana tunajaribiwa kutolewa kwenye ‘focus’ tunaomba Wananchi waache hizi tabia ili tusiwape sababu”

[emoji361] Ali Kamwe.
Afisa Habari wa Yanga Sc.
Waache kutumia jina la "wananchi" wakati wanafanya mambo ya kihuni.
 
Yanga wasijifanye ni wanafunzi, wameshiriki mashindano ya Afrika toka miaka ya 1960s huko na huwa wanajisifu kwa ukongwe. Walichofanya ni ujinga. Mwaka 2016 walipigwa faini na CAF kwa kosa hili hili la kurusha fataki na kuwasha moto uwanjani.
 
Nilipoona Yanga wakili nikajua advocate wa Yanga.
Kila nikisoma sioni wakili kupingwa hiyo faini.
Wakili kama wakili🤣🤣🤣
Madunduka hawa mkuu, waelewe hivyo hivyo.
 
Yani kwa sasa Simba wakianzisha thread Uto wataona wanasemwa na kwa sasa hawataki kusemwa wanataka wasikie mabaya ya Simba tuu...hahaha utasikia Rage apewe ulinzi...
Siyo apewe tu ulinzi! Mimi mkulima wa ngogwe huku Lushoto, nimeahidi kuchangia mifuko 20 ya saruji pale tu mtakapo anzisha mchakato wa kumjengea ile sanamu yake ya kumbukumbu. Na sitanii!!
 
Nyie mjengeeni tuu..mimi nipe ngogwe japo sado sina mboga huku..
 
Back
Top Bottom