Yanga Wakishinda Fainal 2nd leg nchi haitakalika...

Yanga Wakishinda Fainal 2nd leg nchi haitakalika...

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
....ushindi wa Yanga waweza kuwa hivi:
Dk ya 2, Wanapata goal, dk ya 45 wanapata la pili....wkt waarabu wanashambulia, inapigwa Counter dk ya 73, Utopwinyo wanapata goal la 3 mpk mpira unaisha.

Asee hii nchi sie WanaSimba tutajificha wapi....Pale Uwanja wa Ndege nyomi itakua kubwa balaa, yaani hiyo fujo NEMC watakodi hata nchi jirani, watachemka kuizima!

....Utopolo watateka barabara zote kwa mashangilio....


Hii ndoto isiwe kweli tu ili Amani itawale!
 
219b434d-0c40-4f6e-82af-d63d3b4333a6.jpg
 
Mechi ya pili matokeo ya mwisho 2-1 ushindi kwa USMA au sare ya 2-2.
 
Hizo ni ndoto vijana , hapo Yanga akijikaza sana atapata sare tu tena ya 0-0
Yaani kuliwa mshaliwa ninyi Yanga kilichobaki ni kujifariji tu
Kama mna ndoto USM nao wana ndoto vilevile
 
Na tunashinda mi natabiri ni 1-3 au 2-4 yaani game itakuwa open sana na mabao ni mengi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom