Yanga wakitaka wawanyamazishe mashabiki wa Simba S.C basi wakashinde Sudan hata goli 2 kwa 0 tu

Yanga wakitaka wawanyamazishe mashabiki wa Simba S.C basi wakashinde Sudan hata goli 2 kwa 0 tu

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Nafikiri wakifanikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na watatamba nchi nzima mpaka kule kwa General. Muhonzi sijui Muhumzi.

Halafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari.
 
Nafikiri wakiganikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na wata tamba nchi nzima mpaka kule kwa General.Muhonzi sijui muhumzi

Alafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari
Screenshots_2022-10-10-02-02-13~2.jpg
 
Mambumbumbu wenzangu toka MAKOLOKOLO FC chonde chonde tusijisahau sana maana mwisho wa safari yetu hauko mbali sana [emoji28]
 
Back
Top Bottom