kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
1. DIARRA
2 DJUMA 4 JOB 5 BANGALA . 2 JOYCE
6 AUCHO
8 BIGIRIMANA
11 AZIZ Ki 7 benard
9 MAYELE 10 FEI
Najua kuna wengi watauliza kwanini Bigirimana yupo hapo?
Kwa wanaojua mpira vizuri Bigirman anafaa sana kwa sababu ya kupasiana.
Bigiraman ni mchezaji mwenye uwezo mzuri wa kupasi, ana uwezo wa kupiga pasi fupi na ndefu kwahiyo hapo anahitajika zaidi Bigirimana zaidi ya mchezaji yeyote mwenye uwezo huo. Babu Kaju anaweza lakini sio professionnel zaidi ya Bigiramana.
Na kwanini Lomalisa siyo Kibwana, unajua kwenye mechi hii tunahitaji zaidi kushambulia kuliko kuzuia, kwa hiyo Lomalisa ni mzuri kwa kushambulia zaidi ya Kibwana.
Nimeweka kikosi icho kwasababu najua Al Hilal watakuja na mpira wa kushambulia, kuzuia zaidi na kufanya mashambulizi ya kushtukiza zaidi.
Why Azizi ki pembeni kuliko katikati?
Kwasababu pembeni panahitajika mchezaji mwenye uwezo wa ku Drible, kuingia katikati kuliko mchezaji wa kukimbia maana kama Al Hilal waacheza mpira wa kuzuia zaidi kwa hiyo nafikiri zile conter attack za kukimbia na mpira zitakuwa hazipo. Kwa hiyo Aziz Ki yeye atakuwa anacheza kama Faux namba 7, yaani atakuwa anachezea katikati yeye na Fei Toto ili kuzalisha mashuti pale kati zaidi.