Yanga wakitumia kikosi hiki kwa Al Hilal wanatoboa mengi sana

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
1. DIARRA

2 DJUMA 4 JOB 5 BANGALA . 2 JOYCE

6 AUCHO

8 BIGIRIMANA

11 AZIZ Ki 7 benard

9 MAYELE 10 FEI

Najua kuna wengi watauliza kwanini Bigirimana yupo hapo?

Kwa wanaojua mpira vizuri Bigirman anafaa sana kwa sababu ya kupasiana.

Bigiraman ni mchezaji mwenye uwezo mzuri wa kupasi, ana uwezo wa kupiga pasi fupi na ndefu kwahiyo hapo anahitajika zaidi Bigirimana zaidi ya mchezaji yeyote mwenye uwezo huo. Babu Kaju anaweza lakini sio professionnel zaidi ya Bigiramana.

Na kwanini Lomalisa siyo Kibwana, unajua kwenye mechi hii tunahitaji zaidi kushambulia kuliko kuzuia, kwa hiyo Lomalisa ni mzuri kwa kushambulia zaidi ya Kibwana.

Nimeweka kikosi icho kwasababu najua Al Hilal watakuja na mpira wa kushambulia, kuzuia zaidi na kufanya mashambulizi ya kushtukiza zaidi.

Why Azizi ki pembeni kuliko katikati?

Kwasababu pembeni panahitajika mchezaji mwenye uwezo wa ku Drible, kuingia katikati kuliko mchezaji wa kukimbia maana kama Al Hilal waacheza mpira wa kuzuia zaidi kwa hiyo nafikiri zile conter attack za kukimbia na mpira zitakuwa hazipo. Kwa hiyo Aziz Ki yeye atakuwa anacheza kama Faux namba 7, yaani atakuwa anachezea katikati yeye na Fei Toto ili kuzalisha mashuti pale kati zaidi.
 
Kwa hiyo Kishida mlimleta kwa ajili ya mechi za Ihefu?
 
Hii ndio tafsiri ya kikosi kipana,young tuna kikosi kipana tofauti na wale wenzetu wenye wachezaji wa kuokoteza..yanga raha jamani
Kikosi kipana cha nyoko! Huyo aziza makorona amekosekana tu unaona timu inavyostruggle hadi inafungwa na Mbuni fc.
Kikosi kipana ni kile kinachoweza kupata ushindi kikiwa na kibu denis uwanjani
 
1. DIARRA

2 DJUMA 4 JOB 5 BANGALA . 2 JOYCE

6 AUCHO

8 BIGIRIMANA

11 AZIZ Ki 7 benard

9 MAYELE 10 FEI

Najua kuna wengi watauliza kwanini Bigirimana yupo hapo?

Kwa wanaojua mpira vizuri Bigirman anafaa sana kwa sababu ya kupasiana.

Bigiraman ni mchezaji mwenye uwezo mzuri wa kupasi, ana uwezo wa kupiga pasi fupi na ndefu kwahiyo hapo anahitajika zaidi Bigirimana zaidi ya mchezaji yeyote mwenye uwezo huo. Babu Kaju anaweza lakini sio professionnel zaidi ya Bigiramana.

Na kwanini Lomalisa siyo Kibwana, unajua kwenye mechi hii tunahitaji zaidi kushambulia kuliko kuzuia, kwa hiyo Lomalisa ni mzuri kwa kushambulia zaidi ya Kibwana.

Nimeweka kikosi icho kwasababu najua Al Hilal watakuja na mpira wa kushambulia, kuzuia zaidi na kufanya mashambulizi ya kushtukiza zaidi.

Why Azizi ki pembeni kuliko katikati?

Kwasababu pembeni panahitajika mchezaji mwenye uwezo wa ku Drible, kuingia katikati kuliko mchezaji wa kukimbia maana kama Al Hilal waacheza mpira wa kuzuia zaidi kwa hiyo nafikiri zile conter attack za kukimbia na mpira zitakuwa hazipo. Kwa hiyo Aziz Ki yeye atakuwa anacheza kama Faux namba 7, yaani atakuwa anachezea katikati yeye na Fei Toto ili kuzalisha mashuti pale kati zaidi.

Bigirimana Anajua Sana Kupiga Pasi Yule Jamaa..
 
Sureboy pass zake hua sometimes hazina macho. Bigirimana yuko vzr kwenye pass, ni kama Pascal wawa. Anapiga ndege na inafika.
 
Bigirimana ni kiungo konokono tu kama alivyo Chama! Tena Chama ana unafuu maana anaweza hata kushambulia wakati fulani na kufunga. Ila siyo huyo Bigirimana na vile vi squre pasi vyake visivyo na faida yoyote ile uwanjani.

Ukabaji ni shida! Kiukweli kwa Bigirimana, rais wa Yanga ametupiga mashabiki na kitu kizito kichwani. Umri nadhani siyo rafiki kwake. Au kama vipi apandishwe namba 8! Ila siyo namba 6! Yanga ina namba 6 wawili tu kwa sasa; Yannick Bangala na Zawadi Mauya. The rest wnalazimishwa tu kucheza hiyo nafasi.
 
Hii ndio tafsiri ya kikosi kipana,young tuna kikosi kipana tofauti na wale wenzetu wenye wachezaji wa kuokoteza..yanga raha jamani
Ndio akili ya utopolo ilivyo. Unaacha kuilinganisha Yanga na El Hilal unayocheza nayo uwanjani, unajilinganisha na timu itakayokuwapo Angola muda huo
 
Bigirimana ni kiungo konokono tu kama alivyo Chama! Tena Chama ana unafuu maana anaweza hata kushambulia wakati fulani na kufunga. Ila siyo huyo Bigirimana na vile vi squre pasi vyake visivyo na faida yoyote ile uwanjani.

Hivyo nikiwa kama mshambuliaji mstaafu hatari kabisa kuwahi kutokea hapa Kijijini kwangu Mtae Lushoto, nikiwa kama kocha mwenye vyeti viwili vya awali; na niliyekuwa nafananishwa na makocha wakubwa kabisa duniani kama Vladmir Putin wa Chelsea, na Kim Jong Un wa Real Madrid! Nasema wazi kabisa; Bigirimana, NO!

Bora hata mara 100 acheze Zawadi Mauya! Ila siyo Gael Bigirimana! Na katika hili, naomba nikubaliane tu na baadhi ya mashabiki wa Moo Boxing FC, ya kwamba huyo Gael Bigirimana tumepigwa. Umri umeenda sana, kiasi awapo uwanjani unamkuta akili inataka kufanya maamuzi! Halafu mwili unagoma.
Haya magodoro FC umesikika
 
Bigirimana ni kiungo konokono tu kama alivyo Chama! Tena Chama ana unafuu maana anaweza hata kushambulia wakati fulani na kufunga. Ila siyo huyo Bigirimana na vile vi squre pasi vyake visivyo na faida yoyote ile uwanjani.

Ukabaji ni shida! Kiukweli kwa Bigirimana, rais wa Yanga ametupiga mashabiki na kitu kizito kichwani. Umri nadhani siyo rafiki kwake. Au kama vipi apandishwe namba 8! Ila siyo namba 6! Yanga ina namba 6 wawili tu kwa sasa; Yannick Bangala na Zawadi Mauya. The rest wnalazimishwa tu kucheza hiyo nafasi.

Aliyekulia Kisoka Ulaya Atabaki Kuwa Wa Ulaya Tu Mkuu, Zawadi Mauya Anakaba Vizuri Na Anaiba Mipira Vizuri Shida Sasa Inakuja Akishakuwa Na Mpira Sehemu Sahihi Ya Kuupeleka Ndo Mtihani Mkubwa Kwake, Katika Pasi Kumi Atakazopiga Pasi Sita Anapiga Incomplete [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom