YANGA: Wakulahumiwa ni Rivers United

YANGA: Wakulahumiwa ni Rivers United

B I N A M U

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
1,495
Reaction score
2,403
Nadhani dozi hii hakuwa kwaajili ya watu kama ruvu ni kwamba imetokea kwasababu ya rivers najisikia vibaya sana aise 😅. Sio mbaya lakini wataizoea kidogo kidogo wakishindwa tutafutiwe ligi nyingine hata huko ulaya.

Pia kitu kingine wasicho jua yule ni gaucho sio Aucho tungewambia mapema wangesusia ligi 😂😂😂
 
Nadhani dozi hii hakuwa kwaajili ya watu kama ruvu ni kwamba imetokea kwasababu ya rivers najisikia vibaya sana aise 😅. Sio mbaya lakini wataizoea kidogo kidogo wakishindwa tutafutiwe ligi nyingine hata huko ulaya. Pia kitu kingine wasicho jua yule ni gaucho sio aucho tungewambia mapema wangesusia ligi 😂😂😂
Yanga wamesema wakurahumiwa??????? Kheeee
 
Back
Top Bottom