YANGA: Wakulahumiwa ni Rivers United

B I N A M U

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
1,495
Reaction score
2,403
Nadhani dozi hii hakuwa kwaajili ya watu kama ruvu ni kwamba imetokea kwasababu ya rivers najisikia vibaya sana aise πŸ˜…. Sio mbaya lakini wataizoea kidogo kidogo wakishindwa tutafutiwe ligi nyingine hata huko ulaya.

Pia kitu kingine wasicho jua yule ni gaucho sio Aucho tungewambia mapema wangesusia ligi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yanga wamesema wakurahumiwa??????? Kheeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…