Yanga walalama kutopewa mualiko wa mkutano CAF

Hapa napata picha halic ili uwe mwana yanga inatakiwa kiakili uweje...ndo maana senzo kakimbia baada ya kuona ukilazaa wa hali ya juu unaofanywa na kimba fc...kwel kiongoz mkubwa unaweza kutoa lawama ndogo kama hiz as if we ni jimmy kindoki au yanga vigelegele?jitathmin upya kama kwl mna viongoz au mmeamua kuendesha team ki oya oyaa
 
Waalikwe kwa manufaa ya YANGA SC au CAF? Hawapo hata kwenye list ya CAF Super League halafu wanataka kualikwa ...ndio maana Rais wa TFF amewataka kuacha ujinga kwanza ukiwemo ule wa kupokea wageni wanaokuja kucheza mechi zisizowahusu. YANGA = JINGA
 
Simon hajalalamika
 
Mngemwambia Manara akawe MC wa kujitolea angewawakilisha vyema.
 
Walikua wapi wakati wengine wanapata mwaliko.au walijifungia ndani wakafikiri kuna mtu atawashobokea.
 
Senzo hakualikwa alienda baada ya kuomba kuwa observer yanga nao wangeomba ila hawakuwa na hadhi ya.kualikwa
 
Yanga bwana. Ukimsikia kiongozi au mshabiki wa Yanga ni kama umemsikia kiongozi au mshabiki wa CCM. Mentality zao ni zile zile. Wanapenda kujitutumua na kuongelea historia ila performance ni zero.
Kama mwenye perfomance zero amechukua makombe yote ya 2021/2022, basi nyie mliopeleka jeneza uwanjani mjipime
 
Mnataka watovu wa nidhamu waalikwe kwy event Muhimu?kweli kabisa ualike wahuni?Si wataibuka na Haji kwy mkutano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…