Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Billionaires' Club na Matonya analilia kuingia?😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waalikwe kwa manufaa ya YANGA SC au CAF? Hawapo hata kwenye list ya CAF Super League halafu wanataka kualikwa ...ndio maana Rais wa TFF amewataka kuacha ujinga kwanza ukiwemo ule wa kupokea wageni wanaokuja kucheza mechi zisizowahusu. YANGA = JINGAUONGOZI wa Yanga umetoa kauli juu ya kutoalikwa katika Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), bado hawajajua sababu za kutopewa mualiko.
Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Yanga wakili Simon Patrick akizungumza na kituo cha radio cha E-fm amesema wamelazimika kufuatilia mkutano huo kupitia mitandao baada ya kutopata mualiko.
Simon amesema Yanga ambao ni mabingwa wa nchi walitamani kuwepo katika mkutano huo unaonendelea jijini Arusha na kuhudhuriwa na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).
"Bahati mbaya hatujajua kipi kimetokea na sisi (Yanga) kukosa mualiko, tuliamua kutumia fursa ya teknolojia tuweze kufuatilia mkutano huu,"amesema Simon.
"Ni jambo jema tunafurahi limerfanyika hapa Tanzania, kwa manufaa mapana ya nchi yetu wamepata kutangaza utalii, wamepata kujionea mazuri ya Tanzania."
Aidha Simon ameongeza ingawa mkutano huo ni wa CAF lakini wanafahamu kwamba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ndio walipaswa kutambua nafasi ya Yanga kushiriki mkutano huo kwa kuwapa klabu yao mualiko.
Kwani lazima ?
Simon hajalalamikaUONGOZI wa Yanga umetoa kauli juu ya kutoalikwa katika Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), bado hawajajua sababu za kutopewa mualiko.
Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Yanga wakili Simon Patrick akizungumza na kituo cha radio cha E-fm amesema wamelazimika kufuatilia mkutano huo kupitia mitandao baada ya kutopata mualiko.
Simon amesema Yanga ambao ni mabingwa wa nchi walitamani kuwepo katika mkutano huo unaonendelea jijini Arusha na kuhudhuriwa na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).
"Bahati mbaya hatujajua kipi kimetokea na sisi (Yanga) kukosa mualiko, tuliamua kutumia fursa ya teknolojia tuweze kufuatilia mkutano huu,"amesema Simon.
"Ni jambo jema tunafurahi limerfanyika hapa Tanzania, kwa manufaa mapana ya nchi yetu wamepata kutangaza utalii, wamepata kujionea mazuri ya Tanzania."
Aidha Simon ameongeza ingawa mkutano huo ni wa CAF lakini wanafahamu kwamba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ndio walipaswa kutambua nafasi ya Yanga kushiriki mkutano huo kwa kuwapa klabu yao mualiko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mualikwe vp muende mkampake mimavi Infantino? Kinyesi bwanaaaaaa
Kama mwenye perfomance zero amechukua makombe yote ya 2021/2022, basi nyie mliopeleka jeneza uwanjani mjipimeYanga bwana. Ukimsikia kiongozi au mshabiki wa Yanga ni kama umemsikia kiongozi au mshabiki wa CCM. Mentality zao ni zile zile. Wanapenda kujitutumua na kuongelea historia ila performance ni zero.