Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
Jambo Jambo?
Yanga walilambishwa asali kwa Kisu, Favor zikazidi wakajiona wao ndo wenye nchi na wananchi, kumbe Hangaya ni mtu wa strategy.
Siku zote ukitaka kumtuma Mbwa lazima umtupie mifupa miwili mitatu, kuna ile kauli ambayo si nzuri inayotumika mtaani inasema
“Ukikubali kuolewa Sharti ulale mapaja wazi huku umemanuaaa mwanuuuuu”
Sasa Nimetoka kuongea na Jamaa yangu wa karibu ambaye ni kiongozi Simba SC anasema mazungumzo na Fei toto yamepamba moto, na Dau walilompa simba ni kubwa kuzidi walamba koni na marupurupu kibao, Yanga wakimuachilia (Na lazima wamuachie) rasmi anatimkia wekundu wa msimbazi.
Daaah hapa Chama, Hapa zanzibar finest mbele mslovakia.Maneeenah sijui watatuambia nini.
SIMBA NI WACHOKOZI SIGHNING FEE WALIOMPA FEITOTO NI 612 MILLION
yani Akiwapa Yanga 100 yao na mishahara miezi 3 jumla ya 112 million Dogo anabaki na 500Million ya Chenji
Unaambiwa mshahara watakaomlipa feitoto kwa mwezi Ni balaa unaweza ukawalipa mayele na morisson miezi 3 na chenji Juu.
Eng.Hersi na Yanga Akichimama nchale,Akikaa nchale[emoji23] wamebugia kiazi cha moto wanachezesha midomo tu.
Picha haihusiani na Topic.
Nshomile
Kwasasa
Dar es salaam.