Tetesi: Yanga Walambishwa Asali kwa Kisu, Feitoto kutimkia Simba SC

Wamepewa mnofu wa nyama uliotoka jikoni. Kuutema hawawezi wanaishia kutafuna huku wanapuliza hewa nje.
 
Ukiniuliza mimi sioni ulazima..kama mtu ameshaonyesha kutopenda hakuna haja ya kumlazimisha
Kabisa mkuu. Sasa jiulize TFF walishindwa vipi kutatua mgogoro kama huu? Lilikuwa ni suala tu la kuwaambia Yanga huyu mchezaji hana furaha na yupo tayari hata asicheze tena soka kuliko kurudi Yanga, busara ni kusema gharama zenu aondoke siyo kulazimisha arudi kambini. Kumng'ang'ania hakuna maslahi kwa club. Yanga wangetaja gharama halisi, TFF ingempa maelekezo Fei. Mpira ungekuwa kwa Fei.
 
Kweli wewe ni bogus kabisa, na mabogus kama nyie ndio mnaofanya hili suala liendelee kuwa gumu, ngoja tuone kama ulichokiandika kitatokea, maana kila binadamu ana ubongo wake tofauti ni matumizi ya akili yaliyoko kwenye ubongo husika

Unaniita bogus halafu unasema ngoja nilichoandika kitokee unajitambue kweli?

Stupid Fool
 

Hvi wewe hukuwepo wakati feitoto anasema either yeye abaki yanga au eng.hersi aondoke

sasa kama hersi yupo unadhani feitoto atabaki

anasepa simba
 
wew ni zezeta na pengine ni hasara ktk familia yako...
 
Umemaliza...TFF walileta mahaba na sio kama washauri na waamuzi..maana kuna mambo mengine yanatatuliwa kwa ushauri tuu...
 
Reactions: Tsh
Pesa zetu tulizomchangia fei itakuaje? Atazitema au ndio imeisha hiyo
 
Simba imetokea wapi tena jamani 🤔🤔 si walisema ni azam
 
Kama Bi ushungu anadhania Yanga ni wapuuzi asubiri aone, tutwambia Eng. Said kaa pembeni afuu sisi tupeleke shauri la serikali kuingilia michezo afu tuona mwisho wake ni upi.
Yanga ni taasisi inaendeshwa kitaasisi haishinikizwi na mwanasiasa kuamua Jambo lisilo na maslahi. Tff wameshaamua na ndio taasisi inayotambulika kisoka.... Tutamvuta hilo shungi lake hatoamini.
 
Mtoa mada umejiona ulivyo na ndoto za kipumbavu? Kwa hiyo uongozi wa simba ndio ulikupa hizi habari? .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…