kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Sika ndo niniKitendo cha kumpiga kumbo refa hadi anaanguka chini ni kitendo kisichovumilika kabisa.Na mkiendekeza ujinga kama huu kwa vile ninyi ni wapenzi wa Yanga mtafanya sika lizidi kudidimia hapa nchini.Na yanga watakuwa wakisajili wacheza mieleka ili wazidi kuchukua ubingwa.Nalaani kwa nguvu zote kitendo hicho na nawaomba TFF wachukue hatua Kali za kinidhamu kwa wachezaji waliofanya kitendo hicho cha udhalilishaji.
SoccerSika ndo nini
Kweli kabisa!Kitendo cha kumpiga kumbo refa hadi anaanguka chini ni kitendo kisichovumilika kabisa.Na mkiendekeza ujinga kama huu kwa vile ninyi ni wapenzi wa Yanga mtafanya sika lizidi kudidimia hapa nchini.Na yanga watakuwa wakisajili wacheza mieleka ili wazidi kuchukua ubingwa.Nalaani kwa nguvu zote kitendo hicho na nawaomba TFF wachukue hatua Kali za kinidhamu kwa wachezaji waliofanya kitendo hicho cha udhalilishaji.
Yule refa atakuwa nae ni mnazi wa yangaYule refa ni mwoga kweli, yaani kakanyagwa lakini kawa mpole,
Alafu yaan niyozima anamkemea refa hadi aibu dah,
Refa sijui walimtoa wapi,
Jana red card ilikuwepo dhahiri,
Alafu kuna mchezaji alikuwa benchi akaonesha kitendo sio cha kiungwa kuchukua mpira kwenda nao golini kwa mbao alafu aka score,
Dah mpira wa jana kiukweli haukuwa na nidhamu hata kidogo,
Alijidai kufanya km kichuya gem ya cmba hahahaYule refa ni mwoga kweli, yaani kakanyagwa lakini kawa mpole,
Alafu yaan niyozima anamkemea refa hadi aibu dah,
Refa sijui walimtoa wapi,
Jana red card ilikuwepo dhahiri,
Alafu kuna mchezaji alikuwa benchi akaonesha kitendo sio cha kiungwa kuchukua mpira kwenda nao golini kwa mbao alafu aka score,
Dah mpira wa jana kiukweli haukuwa na nidhamu hata kidogo,
Nilimuona mchezaji niliyedhani atakuwa wa msingi baadae nikamshusha na vyeo Msuva hukutakiwa kufanya ule ujinga
Nani asokujua ww hayo ni maumivu ya kukosa ubingwa tu, sio hilo tu tunajua unaomba yanga wakianza zile safari zao za ndege kama kawaida yao waanguke na ndege unaroho mbaya sana ww kinyamkela.Kitendo cha kumpiga kumbo refa hadi anaanguka chini ni kitendo kisichovumilika kabisa.Na mkiendekeza ujinga kama huu kwa vile ninyi ni wapenzi wa Yanga mtafanya sika lizidi kudidimia hapa nchini.Na yanga watakuwa wakisajili wacheza mieleka ili wazidi kuchukua ubingwa.Nalaani kwa nguvu zote kitendo hicho na nawaomba TFF wachukue hatua Kali za kinidhamu kwa wachezaji waliofanya kitendo hicho cha udhalilishaji.