Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kumpiga ni sehemu ya mchezooNani asokujua ww hayo ni maumivu ya kukosa ubingwa tu, sio hilo tu tunajua unaomba yanga wakianza zile safari zao za ndege kama kawaida yao waanguke na ndege unaroho mbaya sana ww kinyamkela.
Timu ya wananchi hii jaribuni muone!Nashauri tff waifute club ya yanga kwenye orodha ya timu tz...poooovu.
Ukiwa mtenda zambi dawa yake ni kupigwa mawe hadi kufa sema walibadilisha tu ,lkn ili hawa watu washike adabu unazani yawapasa kufanywa nn.Kwa hiyo kumpiga ni sehemu ya mchezoo
Kwann na ww usibebweYanga kinacho wasaidiawa ni kubebwa tu.
kAZI YA UKAMISHNA UMEANZA LINIKitendo cha kumpiga kumbo refa hadi anaanguka chini ni kitendo kisichovumilika kabisa.Na mkiendekeza ujinga kama huu kwa vile ninyi ni wapenzi wa Yanga mtafanya sika lizidi kudidimia hapa nchini.Na yanga watakuwa wakisajili wacheza mieleka ili wazidi kuchukua ubingwa.Nalaani kwa nguvu zote kitendo hicho na nawaomba TFF wachukue hatua Kali za kinidhamu kwa wachezaji waliofanya kitendo hicho cha udhalilishaji.
PSG walifanya nini mechi na Barcelona... Hivi yule kipa wa Mbao kwa nini alimshika Martin.. Nyani haoni kundule..Mkude alimfanya nini yule refaNdo maana Msuva anabaki kuwa wa hapahapa ataendelea kuwaangalia lina Samatta kwenye tv tu
PSG walifanya nini mechi na Barcelona... Hivi yule kipa wa Mbao kwa nini alimshika Martin.. Nyani haoni kundule..Mkude alimfanya nini yule refa
Nasikia Kichuya alipelekwa Holland..wazungu wakamshangaa mbilikimo mmemtoa wapi...Ajibu ana ngoma waarabu wakamtosaNdo maana Msuva anabaki kuwa wa hapahapa ataendelea kuwaangalia lina Samatta kwenye tv tu