Yanga walichomfanyia refa Mwanza ni hatari sana!

Yanga walichomfanyia refa Mwanza ni hatari sana!

Kama walimpiga refa kipindi cha nyuma huko na hawakuchukuliwa hatua seuse hii.
 
Matukio ya jana huko Mwanza ndiyo yanadhihirisha tuhuma za Haji Manara dhidi Malinzi
 
Nani asokujua ww hayo ni maumivu ya kukosa ubingwa tu, sio hilo tu tunajua unaomba yanga wakianza zile safari zao za ndege kama kawaida yao waanguke na ndege unaroho mbaya sana ww kinyamkela.
Kwa hiyo kumpiga ni sehemu ya mchezoo
 
Mimi ni Yanga, lakini timu hii kwa sasa siipendi kabisa, kila kukicha ina matukio na mbaya zaidi inaniudhi sana inapokwenda kimataifa, kazi kufungwa tu, shenzy zao.
 
Kitendo cha kumpiga kumbo refa hadi anaanguka chini ni kitendo kisichovumilika kabisa.Na mkiendekeza ujinga kama huu kwa vile ninyi ni wapenzi wa Yanga mtafanya sika lizidi kudidimia hapa nchini.Na yanga watakuwa wakisajili wacheza mieleka ili wazidi kuchukua ubingwa.Nalaani kwa nguvu zote kitendo hicho na nawaomba TFF wachukue hatua Kali za kinidhamu kwa wachezaji waliofanya kitendo hicho cha udhalilishaji.
kAZI YA UKAMISHNA UMEANZA LINI
 
TFF ni Yanga B usitegemee lolote hapo. Zingelifanya timu zingine ungelisha sikia hatua kali kesho yake. Malinzi aka ua soka Tz kwa maslahi ya Yanga.
 
Ndo maana Msuva anabaki kuwa wa hapahapa ataendelea kuwaangalia lina Samatta kwenye tv tu
PSG walifanya nini mechi na Barcelona... Hivi yule kipa wa Mbao kwa nini alimshika Martin.. Nyani haoni kundule..Mkude alimfanya nini yule refa
 
PSG walifanya nini mechi na Barcelona... Hivi yule kipa wa Mbao kwa nini alimshika Martin.. Nyani haoni kundule..Mkude alimfanya nini yule refa

Kwahiyo kosa hulipwa kwa kosa?

Huyo Malinzi anawadekeza mkienda nje ya nchi mkafanye hivyo pia
 
Ndo maana Msuva anabaki kuwa wa hapahapa ataendelea kuwaangalia lina Samatta kwenye tv tu
Nasikia Kichuya alipelekwa Holland..wazungu wakamshangaa mbilikimo mmemtoa wapi...Ajibu ana ngoma waarabu wakamtosa
 
Back
Top Bottom