GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Ni timu yangu, lakini kama litatembezwa bakuli siwezi kuchangia,
Labda kama ni kumchangia Tshishimbi pekee ambaye alionesha moyo
wa Kupambana. Kwa yeyote aliyefuatilia pambano lile atakubaliana na
mimi kuwa Wachezaji wa Yanga walicheza chini ya Kiwango makusudi
Kabisa.
Kwanini tuwachangie watu ambao wametudhalilisha KWANINI?
Wangepambana, halafu wangekuja kuomba msaada.
PUMBAVU SANA Yaani siku hizi kijiweni hata hakunogi halafu tuwachangie!!!!!!!
Angalia hii video jinsi tunavyochekwa.