Yanga walikusudia kufungwa na Gormahia kuwachangia ni upumbavu

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Ni timu yangu, lakini kama litatembezwa bakuli siwezi kuchangia,
Labda kama ni kumchangia Tshishimbi pekee ambaye alionesha moyo
wa Kupambana. Kwa yeyote aliyefuatilia pambano lile atakubaliana na
mimi kuwa Wachezaji wa Yanga walicheza chini ya Kiwango makusudi
Kabisa.

Kwanini tuwachangie watu ambao wametudhalilisha KWANINI?
Wangepambana, halafu wangekuja kuomba msaada.

PUMBAVU SANA Yaani siku hizi kijiweni hata hakunogi halafu tuwachangie!!!!!!!

Angalia hii video jinsi tunavyochekwa.
 
Attachments

Yanga walifungwa sababu kiwango ni duni. Wachezaji walijituma sana. Na kama wangelegea wangefungwa 7 siku ile. Inapaswa wapongezwe. Hayo mengine ni kujifariji tu. Team ni mbovu.
 
Waliwacheka simba, wakidhani watapita salama...
Wahenga walisema usimtukane mamba kabla hujavuka mto hawakuwa wajinga!
Bado hao gongowazi watachapwa tena nyumbani, hawatoshinda mechi hata moja!
 
unafahamu Simba haijacheza makundi CAF mwaka wa 16 huu unakatika...
 
we unafaham Yanga haijawahi Kufika hata Nusu Fainali CAF toka izaliwe hapa duniani? akili za Kuambiwa changanya na za kwako kuna stories mnapewa vijiweni nawe unabeba hivyo hivyo sababu hata akili huna. ungekuwa nayo ungeweza hata kufanya utafiti mdogo sana. mara ya mwisho simba kushiriki CAF ilikuwa mwaka 2011 kwa hiyo toka mwaka 2011 mpaka 2018 ni miaka 16? wewe kama ni mshabiki wa Yanga unaiabisha sana Yanga. sana ninyi ndo huwa mnakuwa kama mandondocha maana akili zenu zimeshafubaa... ulifanikiwa tu kujua kusoma na kuandika tangia hapo ndo umebaki na akili za kuvukia tu barabara na kuvalia nguo. maana ungekuwa una uelewa hata kidogo hili suala lisingekuwa gumu kwako.

CAF Champions League:
na mwaka 1993 simba walikuwa finalist wa CUF Cup. sasa hiyo miaka 16 wewe umeitoa wapi?

unafahamu Simba haijacheza CAF mwaka wa 16 huu unakatika...
 
Shwaini kabisa onesha hapo ni mwaka gani mara ya mwisho Simba kushiriki ligi ya makundi CAF?

Siyo unajambajamba tu, umeulizwa kingine unajibu uharo mtupu unanuka.
 
Yanga walifungwa sababu kiwango ni duni. Wachezaji walijituma sana. Na kama wangelegea wangefungwa 7 siku ile. Inapaswa wapongezwe. Hayo mengine ni kujifariji tu. Team ni mbovu.
Nimekugongea LIKE, kathibitishe kama huamini.
 
Waliwacheka simba, wakidhani watapita salama...
Wahenga walisema usimtukane mamba kabla hujavuka mto hawakuwa wajinga!
Bado hao gongowazi watachapwa tena nyumbani, hawatoshinda mechi hata moja!
Mfupa uliomshinda mme, mke atauwezea wapi?

Hawa vyura warudi tu nyumbani wacheze na kina Majimaji wabebwe na marefa wetu njaa kali
 
kwa akili hii uli nayo ndo maana maisha yako ni magumu sana.. i lay down the case. maana nikishindana na mpumbavu aliyebobea its obvious atanizidi maana yeye ana uzoefu katika hili. hata lugha unayotumia inaonesha ni wale wale... ntajiabisha... watu kama nyie mnapokaa sana kwenye matumbo ya wazazi wenu mnasababisha kansa... ndo maana huwa mnazaliwa mapema kabla ya siku zenyewe ili kuokoa wazazi. matokeo yake huku duniani mnakuja tena kuchafua hali ya hewa.

Shwaini kabisa onesha hapo ni mwaka gani mara ya mwisho Simba kushiriki ligi ya makundi CAF?

Siyo unajambajamba tu, umeulizwa kingine unajibu uharo mtupu unanuka.
 
ha ha ha.. asprin jamaa wapuuzi sana hawa .. team yao inafahamika ni mbovu na yule aliyekuwa ananunua mechi kwa sasa hayupo maana yanga iliyokuwa chini ya Manji ni ile ile iliyomalia msimu huu ikigongwa kila mara.. but manji aliposhindwa kuwa anatoa pesa za hongo kwa team pinzani mambo yakawa mabaya.. then jamaa wanakuja na kujifariji kwiiiiingi sana. yanga ni team mbovu. period.

Nimekugongea LIKE, kathibitishe kama huamini.
 
Ni timu yangu, lakini kama litatembezwa bakuli siwezi kuchangia,
Labda kama ni kumchangia Tshishimbi pekee ambaye alionesha moyo
wa Kupambana. Kwa yeyote aliyefuatilia pambano lile atakubaliana na
mimi kuwa Wachezaji wa Yanga walicheza chini ya Kiwango makusudi
Kabisa.

Kwanini tuwachangie watu ambao wametudhalilisha KWANINI?
Wangepambana, halafu wangekuja kuomba msaada.

PUMBAVU SANA Yaani siku hizi kijiweni hata hakunogi halafu tuwachangie!!!!!!!

Angalia hii video jinsi tunavyochekwa.
Wapumbavu ni wanaotarajia kuna mtu atajikamua uwanjani hali ya kwamba mshahara wa mwezi uliopita hajapewa.

Kwa akili zako fupi, hujajua kwamba endapo wangeshinda ile mechi hakuna ambaye angeelewa shida zao. Tusilaumu wachezaji, mwambieni Akilimali awape mishahara yao.
 
ha ha ha.. asprin jamaa wapuuzi sana hawa .. team yao inafahamika ni mbovu na yule aliyekuwa ananunua mechi kwa sasa hayupo maana yanga iliyokuwa chini ya Manji ni ile ile iliyomalia msimu huu ikigongwa kila mara.. but manji aliposhindwa kuwa anatoa pesa za hongo kwa team pinzani mambo yakawa mabaya.. then jamaa wanakuja na kujifariji kwiiiiingi sana. yanga ni team mbovu. period.
Mi kazi yangu leo ni kukugongea LIKE tu. Haya matirio unayomwaga hapa unaweza tunukiwa PhD ya michezo
 
ha ha ha.. asprin jamaa wapuuzi sana hawa .. team yao inafahamika ni mbovu na yule aliyekuwa ananunua mechi kwa sasa hayupo maana yanga iliyokuwa chini ya Manji ni ile ile iliyomalia msimu huu ikigongwa kila mara.. but manji aliposhindwa kuwa anatoa pesa za hongo kwa team pinzani mambo yakawa mabaya.. then jamaa wanakuja na kujifariji kwiiiiingi sana. yanga ni team mbovu. period.
Maneno ya kike haya. Tumebeba ubingwa mara 27 na mmetuchangia points mara kadhaa, na nyie tuliwanunua?
 
si mabao ya akina kessy kupasia wachezaji wa yanga ....simba na lile bao la mkono la tambwe na la simba halali kukutaliwa. mi nakwambia nachokifahamu vizuri sana
Maneno ya kike haya. Tumebeba ubingwa mara 27 na mmetuchangia points mara kadhaa, na nyie tuliwanunua?
 
Wapumbavu ni wanaotarajia kuna mtu atajikamua uwanjani hali ya kwamba mshahara wa mwezi uliopita hajapewa.

Kwa akili zako fupi, hujajua kwamba endapo wangeshinda ile mechi hakuna ambaye angeelewa shida zao. Tusilaumu wachezaji, mwambieni Akilimali awape mishahara yao.
Vipi kama kuna wakala alikuwa anatafuta wachezaji huoni kama wamejiharibia?
 
Back
Top Bottom