Video haifunguki...tupia nyingine.Angalia hii video jinsi tunavyochekwa.
unafahamu Simba haijacheza makundi CAF mwaka wa 16 huu unakatika...Yanga walifungwa sababu kiwango ni duni. Wachezaji walijituma sana. Na kama wangelegea wangefungwa 7 siku ile. Inapaswa wapongezwe. Hayo mengine ni kujifariji tu. Team ni mbovu.
unafahamu Simba haijacheza CAF mwaka wa 16 huu unakatika...
Shwaini kabisa onesha hapo ni mwaka gani mara ya mwisho Simba kushiriki ligi ya makundi CAF?we unafaham Yanga haijawahi Kufika hata Nusu Fainali CAF toka izaliwe hapa duniani? akili za Kuambiwa changanya na za kwako kuna stories mnapewa vijiweni nawe unabeba hivyo hivyo sababu hata akili huna. ungekuwa nayo ungeweza hata kufanya utafiti mdogo sana. mara ya mwisho simba kushiriki CAF ilikuwa mwaka 2011 kwa hiyo toka mwaka 2011 mpaka 2018 ni miaka 16? wewe kama ni mshabiki wa Yanga unaiabisha sana Yanga. sana ninyi ndo huwa mnakuwa kama mandondocha maana akili zenu zimeshafubaa... ulifanikiwa tu kujua kusoma na kuandika tangia hapo ndo umebaki na akili za kuvukia tu barabara na kuvalia nguo. maana ungekuwa una uelewa hata kidogo hili suala lisingekuwa gumu kwako.
CAF Champions League:
na mwaka 1993 simba walikuwa finalist wa CUF Cup. sasa hiyo miaka 16 wewe umeitoa wapi?
Nimekugongea LIKE, kathibitishe kama huamini.Yanga walifungwa sababu kiwango ni duni. Wachezaji walijituma sana. Na kama wangelegea wangefungwa 7 siku ile. Inapaswa wapongezwe. Hayo mengine ni kujifariji tu. Team ni mbovu.
Mfupa uliomshinda mme, mke atauwezea wapi?Waliwacheka simba, wakidhani watapita salama...
Wahenga walisema usimtukane mamba kabla hujavuka mto hawakuwa wajinga!
Bado hao gongowazi watachapwa tena nyumbani, hawatoshinda mechi hata moja!
Shwaini kabisa onesha hapo ni mwaka gani mara ya mwisho Simba kushiriki ligi ya makundi CAF?
Siyo unajambajamba tu, umeulizwa kingine unajibu uharo mtupu unanuka.
Nimekugongea LIKE, kathibitishe kama huamini.
Wapumbavu ni wanaotarajia kuna mtu atajikamua uwanjani hali ya kwamba mshahara wa mwezi uliopita hajapewa.Ni timu yangu, lakini kama litatembezwa bakuli siwezi kuchangia,
Labda kama ni kumchangia Tshishimbi pekee ambaye alionesha moyo
wa Kupambana. Kwa yeyote aliyefuatilia pambano lile atakubaliana na
mimi kuwa Wachezaji wa Yanga walicheza chini ya Kiwango makusudi
Kabisa.
Kwanini tuwachangie watu ambao wametudhalilisha KWANINI?
Wangepambana, halafu wangekuja kuomba msaada.
PUMBAVU SANA Yaani siku hizi kijiweni hata hakunogi halafu tuwachangie!!!!!!!
Angalia hii video jinsi tunavyochekwa.
Mi kazi yangu leo ni kukugongea LIKE tu. Haya matirio unayomwaga hapa unaweza tunukiwa PhD ya michezoha ha ha.. asprin jamaa wapuuzi sana hawa .. team yao inafahamika ni mbovu na yule aliyekuwa ananunua mechi kwa sasa hayupo maana yanga iliyokuwa chini ya Manji ni ile ile iliyomalia msimu huu ikigongwa kila mara.. but manji aliposhindwa kuwa anatoa pesa za hongo kwa team pinzani mambo yakawa mabaya.. then jamaa wanakuja na kujifariji kwiiiiingi sana. yanga ni team mbovu. period.
Maneno ya kike haya. Tumebeba ubingwa mara 27 na mmetuchangia points mara kadhaa, na nyie tuliwanunua?ha ha ha.. asprin jamaa wapuuzi sana hawa .. team yao inafahamika ni mbovu na yule aliyekuwa ananunua mechi kwa sasa hayupo maana yanga iliyokuwa chini ya Manji ni ile ile iliyomalia msimu huu ikigongwa kila mara.. but manji aliposhindwa kuwa anatoa pesa za hongo kwa team pinzani mambo yakawa mabaya.. then jamaa wanakuja na kujifariji kwiiiiingi sana. yanga ni team mbovu. period.
Maneno ya kike haya. Tumebeba ubingwa mara 27 na mmetuchangia points mara kadhaa, na nyie tuliwanunua?
Vipi kama kuna wakala alikuwa anatafuta wachezaji huoni kama wamejiharibia?Wapumbavu ni wanaotarajia kuna mtu atajikamua uwanjani hali ya kwamba mshahara wa mwezi uliopita hajapewa.
Kwa akili zako fupi, hujajua kwamba endapo wangeshinda ile mechi hakuna ambaye angeelewa shida zao. Tusilaumu wachezaji, mwambieni Akilimali awape mishahara yao.
Hizo ni assumptions kaka, Yanga inahitaji overhaul. Najua unatamani timu ifanye vizuri, lkn hakuna kazi yenye kufana bila ujira.Vipi kama kuna wakala alikuwa anatafuta wachezaji huoni kama wamejiharibia?
Nyie mnaocheza mnakula 4g....miguu ya brevisunafahamu Simba haijacheza makundi CAF mwaka wa 16 huu unakatika...