Yanga walikuwa na mpango wa kumvunja Luis Jose

Yanga walikuwa na mpango wa kumvunja Luis Jose

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Ilinishangaza sana baada ya goli kocha wa simba kumuacha luis jose ndani ya uwanja wakati wale WEHU wa utopolo wakiwa wamechaji na roho mbaya zao wakicheza shaolini soccer full Kung Fu

Target yao kubwa jana ilikuwa ni konde boy. Dakika ya 96 wakijua ni last move ya mpira alirukiwa na wachezaji watatu wa yanga, mwamnyeto, mauya, adeyum hadi tumbo wanapiga LENGO LAO AVUNJIKE DEAL YA 1.3 BILLIONS yA ALY AHLY IFE AMBAYO TENA INAIFAIDIShA SIMBA KULETEWA WALTER BWALYA KAMA NYONGEZA

NDUGU ZANGU UTOPOLO , ROHO MUBAYA HAIJENGI KITUUUUUUUUUU HALAFU NAWAKUMBUSHA KWAMBA RED CARD SIYO KISINGIZIO EMBU ANGALIENI TAKWIMU HIZI

Kuna watu wanasingizia eti walikua pungufu
Simba
🆚
yanga 2005
Final tusker cup
Victor Costa red card dk ya 38
Mwisho wa game simba 2 -0 yanga
Simba
🆚
yanga 2006
Morogoro
Henry Joseph red card dk ya 10
Mwisho wa game simba 1-0 yanga
Mwaka 2017
Simba
🆚
yanga
Mkude red card dk ya 28
Mwisho wa game 1-1
Mwaka 2017 tena
Simba
🆚
yanga
Bukungu redcar dk ya 59
Mwisho wa game simba 2-1 yanga
Mpaka hapo tuelewane redcard sio kisingizio
 
Wanaume wakiwa kazini hatutegemei wavulana watambe, Asubiri mechi na wavulana wenzake ili afanye anayo yataka.Ao ma star wa Simba wanamechi zao za kutamba Ila si kwa Yanga.
 
Refa alipaswa kumlinda Miquison toka mwanzoni mwa mchezo. Na iwapo refa angetimiza wajibu wake vizuri kwa kutoa kadi za njano kila palipostahili nina hakika kabisa Yanga wangemaliza dakika 90 na wachezaji pungufu zaid ya wawili.
 
Back
Top Bottom