Kutamka maneno hayo haijalishi Kama ni kweli au uongo...mradi umetamka basi hilo ni kosa...Soma sheria...penal code...ukimtamkia mtu Kama nitakua haijalishi Kama kweli utamuua au hutamuua...ni kosa moja kwa moja...Sasa basi mwanasimba mmoja amerikodiwa anasema tumekuja hapa kwa lengo moja tu kuihujumu Yanga kuhakikisha kuwa haishindi...na anaendelea kutamba kuwa wataendelea kufanya hivyo Kila mechi...Sasa huyo alipaswa kuhojiwa na polisi pamoja na TFF...