Mbona hayo mambo ya kawaida kwa utani, shida yenu mmegeuza utani kua uadui.Umeonyesha ujinga na upumbavu na pia ushenzi pamoja....kuingia uwanjani siyo issue hapa ..suala hapa ni kutangaza kufanya hujuma kwa timu nyingine...huu ndio ushenzi na ujinga pamoja na upumbavu....
Mbona kwenye vibanda umiza huku maneno kama hayo kawaida