Yanga wamedhoofu, ni kama wao ndio wapo ugenini wanakatisha tamaa!

Yanga wamedhoofu, ni kama wao ndio wapo ugenini wanakatisha tamaa!

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Wanavyocheza yanga nikama tayari wameshapata goli nne, kama wasiposhinda goli 3 leo ndio basi tena!
 
Yaani wanacheza kama vile na IHEFU na hii itawagharimu kule TUNISIA
 
Hawana timu ya ushindani wa 'CAF'. Hawaoneshi mpango Yao uwanjani kama kweli wana njaa ya mafanikio.
Uongozi na benchi la ufundi una kazi ya kuandaa timu ya ushindani.
 
Manara labda aende na wake zake hapo kuwapa mnkari

Ova
 
Nabi aondoke ana uwezo mdogo sana kama kocha na wachezaji kama akina Makambo waondoke hakuna wanachofanya ni kula hela za bure tu na kuwagawia viongozi ili wawalinde waendelee kuwepo Yanga, bure kabisa.
 
Mazoezi ya gym sio mazuri kwa soka la sasa wachezaji wanakuwa wazito sana hawakimbii na wanaokimbia hawana akili sawa sawa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mazoezi ya gym sio mazuri kwa soka la sasa wachezaji wanakuwa wazito sana hawakimbii na wanaokimbia hawana akili sawa sawa .
Nabi aondoke ana uwezo mdogo sana kama kocha na wachezaji kama akina Makambo waondoke hakuna wanachofanya ni kula hela za bure tu na kuwagawia viongozi ili wawalinde waendelee kuwepo Yanga, bure kabisa.
So Ronaldo mbio zilikuwa zinamuishia kipindi ambacho alikuwepo Real Madrid?
Hii hoja finyu sana
 
Usajiri wa Yanga ni wa kutaka kuifunga Simba tu basi.

Na kuiba wachezaji wanaotakiwa kuja Simba.

Zaidi ya hapo hawana mipango mingine.

Hayo ndio mafanikio yao kwa msimu mmoja.
 
"wenzetu hizi mechi wanajua kuzicheza"

Alisikika shabiki mmoja wa uto kijiweni.

Pamoja na yote ila Hongereni watani kwa kuendeleza clean sheets.

Sent from my Nokia 3.4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom