Yanga wamefuta post ya kuomba radhi kuhusu mchango wa Tsh. Milioni 100 kwa CCM

Yanga wamefuta post ya kuomba radhi kuhusu mchango wa Tsh. Milioni 100 kwa CCM

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Klabu ya Yanga wamefuta post ya kuomba radhi, ambayo ilikuwa ikihusu mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa kwa CCM.

Soma > Yanga wasema mchango wa Milioni 100 kwa CCM ulitolewa na GSM Foundation, Sio Fedha za Klabu

Post ya barua hiyo ilisisitiza kuwa fedha hizo hazikutoka kwenye klabu au wanachama wake, bali zilikuja kupitia GSM Foundation, taasisi inayohusiana na mdhamini wao, Ghalib Said Mohammed. Uongozi pia uliomba radhi kwa wanachama, mashabiki na wapenzi wa mpira kutokana na sintofahamu iliyojitokeza.

photo_2025-08-15_13-00-07.jpg
 
Engineer ametuangusha sano bora aachane na uongozi wa mpira ajikite kwenye siasa
 
Eng Hersi alipoteza kuteuliwa kugombea ubunge mara baada ya kupingana na waziri kuhusu dabi.....
Hii inamaanisha wasaidizi wa raisi kwake hawana cha kumshauri au kumwambia.
 
Back
Top Bottom