Post ya barua hiyo ilisisitiza kuwa fedha hizo hazikutoka kwenye klabu au wanachama wake, bali zilikuja kupitia GSM Foundation, taasisi inayohusiana na mdhamini wao, Ghalib Said Mohammed. Uongozi pia uliomba radhi kwa wanachama, mashabiki na wapenzi wa mpira kutokana na sintofahamu iliyojitokeza.
Eng Hersi alipoteza kuteuliwa kugombea ubunge mara baada ya kupingana na waziri kuhusu dabi.....
Hii inamaanisha wasaidizi wa raisi kwake hawana cha kumshauri au kumwambia.