Ila akiondoka Simba lazima mpoteaneWanaomgombania hao Masha biki wengine wa Simba Ila Mimi binafsi yangu AENDE HATA LEO.kanuni ya kubembeleza uwa Sina katika maisha yangu..
Anataka ABAKI,hataki ASEPE
Mo ni mipasho na mikao yake jau jau tuMwamedi anaonekana mbabaishaji bora timu ingebaki kwa mwenyewe Bi Hindu
Lakini hilo halizuii yanga kufungaHata siku ya mechi simba na yanga watangazaji wa radio one walikuwa wanaonyesha ushabiki WA wazi wazi... Yaan mashambulizi Goli LA yanga hakuna bashasha na hata simba wakigusa Mpira mtangazaji anakuwa slow sana. Nadhani walijipanga Sana yanga kupenyeza rupia kwa vyombo vya Habari
Kwa hujui IPP Media marehemu mzee Mengi alikuwa mwananchiHata siku ya mechi simba na yanga watangazaji wa radio one walikuwa wanaonyesha ushabiki WA wazi wazi... Yaan mashambulizi Goli LA yanga hakuna bashasha na hata simba wakigusa Mpira mtangazaji anakuwa slow sana. Nadhani walijipanga Sana yanga kupenyeza rupia kwa vyombo vya Habari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwamedi anaonekana mbabaishaji bora timu ingebaki kwa mwenyewe Bi Hindu
Njooni mumchukue kama mna ubavu ikiwa.Tambwe tu mlimkopa
Sawa dada mvaa vjora na madelaMwamedi anaonekana mbabaishaji bora timu ingebaki kwa mwenyewe Bi Hindu
Ongeza sauti mkuu huku nyuma sikusikii
Ayaa sasa simba anatapatapa nmecheka sana kumbe yanga wote vilaza aiseSimba Tayari Mmeanza Kutapata Hata Wa-Nigeria Bado Hawajawapiga Kitakatifu!